MALAYA MZOEFU..04
Mtunzi: JONS JONAS
Msimuliaji:CLIFF DAVIS
WhstsApp:0613 321 991
Kabla
sijaanza kukusimulia simulizi hii ya Malaya mzoefu sehemu ya nne, ningependa
kukukumbusha jambo muhimu sana. Tafadhali hakikisha unasubscribe kwenye chaneli
hii Ya Simulizi Extra, ili uwe wa kwanza kupata muendelezo wa simulizi hii pamoja na
simulizi nyingine za kuvutia. Pia, usisahau kulike na kuacha maoni yako; maoni
yako ni muhimu sana katika kutusaidia kuboresha simulizi zetu na kuhakikisha
kuwa zinaendelea kukufurahisha. Kwa kufanya hivyo, utakuwa umetisha kinomanoma!
Sasa bila kupoteza muda, wacha nikupeleke moja kwa moja kwenye
simulizi yetu ya leo, inayomhusu mrembo Tina, ambaye alitumia mwili wake barabara kujifurahisha.
Mimi ni mr.story Cliff Davis, na ni faraja yangu kubwa
kukukaribisha kwenye safari hii ya kusisimua. Twende tukaendelee na simulizi
hii..
::
Tuliishia pale ambapo Tina na john wakiwa ndani ya gari wakielekea kinondoni
nyumbani kwa john wakiwa njiani mala simu ya jonh ikaita na akamuambia tina
aipokee na kuweka loudspeaker tunakumbuka pia aliepiga simu ile alikuwa ni
mpenzi wa jonh na alimuambia kuwa yupo nyumbani kwake anamsubiri we nini
kinajiri twene pamoja……
::
Hasira kali zilikuwa zimenishika ukichanganyia na wivu niliokuwa nao wa ghafla,
na hivi tena simu nilikuwa nimeishikilia mwenyewe huku nimemuwekea ‘laudi
spika’ John aongee, nilijikuta naikata ile simu nakumkunjia sura John huku
mdomo na sura yangu nikivikunja.. “..John, embu niweke wazi..! Huyo uliokuwa
unaongea naye kwenye simu ni nani..?” “..mh mh huyo ni dada yangu, mtoto wa
Mama yangu mkubwa, anaitwa Jescar..” “..aaah Jescar enh, eti mtoto wa Mama
mkubwa..? Kwahiyo nyie huko Pemba mtoto wa Mama mkubwa anaweza kuwa mpenzi wako
si ndio..?” “..kwani ameniita mpenzi..?”
“..yaani mara hii unageuka nakujifanya hujui kitu kabisaaa..”
“…wee elewa hivyo tu na uamini, kama angekuwa ni mchumba wangu si
ningeshakwambia..?” John alianza kukasirika huku akiongea kwa sauti mule ndani
ya gari nakunifanya niwe mpole kama sijui kitu.. Ndani ya nusu saa tulikuwa
tumeshafika kinondoni mkwajuni na John alikuwa mtu wa kwanza kushuka huku
akienda upande wa pili wa mlango nakunifungulia kama vile mtoto wa malkia..
Ilitubidi tupaki gari mbali kidogo na kwake kwani msongamano wa nyumba
ulivyokuwa umekaa bila kupangiliwa ulitufanya tutembee kidogo mpaka kwenye
chumba chake, Kulikuwa ni uswahilini haswa japokuwa tulipoingia tu ndani
nilisahau kila kitu nakujiona kama vile nyumbani kwa Jerry kuna kachumba
kamoja, “..karibu Tina na jisikie uko nyumbani..” “..nashukuru, usijari, vipi
huyo dada yako yuko wapi sasa mbona hata hatujamkuta..?” “…aaah yule mambo
mengi, sema wewe humjui tu, atakuwa kasubiri kidogo kajiondokea zake, haya
chumbani na sebuleni kwangu ndio hapahapa, sasa wacha mi nikupishe ubadilishe
nguo ukaoge si uliniambia kuwa una…” Kabla hajamalizia kuongea nikamuwahi,
“..nikwambie kitu John..?” “..nimeghairi wala hata siendi kuoga, kwanza
nawaogopa majirani zako, embu ona walivyokaa huko nje.. Ah ah mi sitaki…”
Nilimkatalia John maksudi huku akili yangu yote nikielekezea jinsi
nitakavyomtega mpaka ategeke.. “…John, embu niambie kweli mchumba wako yuko
wapi..?” “..wallah tena, bado hata sijaoa na wala sina kwa sasa..” “…ila kwa
sasa ukipata unaoa..? Maana mie naskia nyie wapemba mnachaguliwa mke wakuoa, na
unaoa mpemba mwenzako..?” “…mh kwa hilo sijaliwahi kulisikia hata..” “..ok,
kwahiyo hata mie unaweza kunioa..” Nilimuhoji kimtego huku akionesha kama
kupagawa, kwani muda wote tuliokuwa tunaongea, nilikua nikimrembulia huku
nikipandisha gauni langu juu nakuachia mapaja yote wazi, “…John, unapenda
mwanamke bikra..?” Japokuwa swali hilo wasichana wengi huwa wanaogopa kuwauliza
wanaume, kwangu Tina mie ilikuwa tofauti kabisa, nilijivika moyo wa kijasiri
ukichanganyia na u ‘play gal’ niliokuwa nao ndio usiseme kabisaa.. “..hiyo ipo
wazi, kwani sisi wapemba mwanamke utakayemtoa bikra ndio huyo huyo
utakayemuoa..” “…hivyo tu..?” “..yeah ndio hivyo..” “..nikwambie kitu John..”
Nikaanza kumdekea nakumlegezea jicho kana kwamba labda ameshakuwa mume wangu wa
ndoa.. “..niambie kitu gani tena..” “..mimi ni msichana bikra..” “..unasema
kweli Tina..?” “..basi ni faraja kwa bro Jerry kwani atakuwa amepata mwamamke
safi aliyetulia na mwenye kujali usichana wake..” “..simtaki huyo kaka yako,
kwanza yeye ni rafiki yangu wakaribu kwakuwa tunafanya naye kazi pale
‘airport’..” “..unasema kweli Tina..? Dah kwa jinsi ulivyokuwa unamlilia nakuwa
karibu naye mie nikadhania labda ni mtu wake..” Niliona kama ananichanganya
kuendelea kupiga stori za kaka yake, nilichokifanya nilivua nguo zangu nakubaki
“..haya John nipo tayari nitoe bikra sasa hivi mwenzako natamani unitoe wewe..”
“..unasema kweli Tina..?” “..kweli, nimeitunza sana na wala sijawahi kutembea
na mwanaume yeyote maishani mwangu..” Kabla hata sijamalizia kumwambia, nilishangaa
John akifungua mlango nakutoka haraka haraka, “..Tina, nipe dakika 2 narudi
sasa hivi..” Alitoka na nisijue hata anaenda wapi huku akiniacha pale chumbani
kwake peke yangu, niliichukuwa simu yake nakuanza kuitafuta ile namba iliyopiga
saa ile hadi akanidanganya ni dada yake.. “..mshenzi mkubwa, na atakiona leo,na
nalala hapa hapa..” Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijiongelea mwenyewe baada
ya kuigundua kuwa ile ni namba ya rafiki yangu kabisaa Aisha sikukasirika sana
kwani tayari nilikuwa nina uhakika wa ku sex.. Ndani ya muda mchache John
alikuwa amesharudi huku mkononi kashika kondomu.. “..John, si nimeshakwambia
mie bikra..? Sasa hizo ni za nini..?
Embu tupa kulee…” Nilizichukuwa nakuzitupia chini,..”kisha nikamsogelea john
karibu “…John mie naogopa sana mwenzio kusalitiwa katika mapenzi..” “..wallah,
haitakuja kutokea Tina..” “..hivi unajua ni wanaume wangapi nimewakataa kisa
hii bikra yangu…” Nilimkazia macho John huku nikitoa machozi bandia kana kwamba
nina bikra kweli… John alinivamia kwa uchu na kutaka penzi kwa haraka lakini
nilijifanya naogopa sana kwa hiyo nikamueleza asijali ni lazima yeye ndio
ataitoa bikra yangu hivyo nikamwambia turudi hospitali tukamuangalie jerry na tukitoka
huko tunarudi kuendelea mpaka asubuhi john alifurahi na kukubali baada ya
kumwambia tutafanya hadi asubuhi… nikavaa nguo zangu haraka haraka na kupanda
gari kwenda hospitali.. *
Umati
wa wanawake bado ulizidi kumzunguka Jerry, kwa kipindi hiki aliweza kutoa macho
na kuangaza huku na kule.. Nilikuwa namdekea John huku kila saa mikono yangu
ikiwa mabegani kwake kwa makusudi ili kumkomesha Jerry.. Tulipomaliza
kumuangalia Jerry tuliingia kupata chakula kisha tukaelekea kwake kinondoni…
John alikuwa anashauku ya ajabu alikuwa akiendesha gari kwa kasi ya ajabu na
hiyo yote nikuwahi kufika tu huko kwake na aweze kunitoa bikra.. “..angejua
bikra yenyewe hata aliyenitoa nimeshamsahau..!” Nilijisemea kimoyo moyo huku
nikiendelea kumtolea jicho John aliyekuwa ‘bize’ kwa kuendesha gari..
“..Nimesahau kukwambia John, mwenzio kesho asubuhi sana ninakipindi..” “..hilo
tu wala usijari kabisa, hapa tuna gari ya bro, ntakuwaisha asubuhi asubuhi,
sema kingine mammii…” John aliongea kwa kujiamini. Haikuuchukuwa muda sana
tukawa tumeshafika kwake, hakukuwa na sehemu yakulaza gari, hivyo aliliachia
kwa mbali kidogo, halafu tukatembea mpaka kwake., njia nzima John alikuwa ni
wakunishika mara mabegani, mara mikono sijakaa vizuri akanishika nywele zangu.
Kwakuwa tulishakula hivyo tulipoingia tulijifungia ndani… “..John nakuomba
ukanitayarishie maji nioge..” John hakuweza kukataa kwani ndani ya muda mfupi
alikuwa tayari mtumwa wa mapenzi na kila nilichotaka alikuwa yupo tayari,
haraka haraka akatoka nje kwenda kunitayarishia maji,aliporudi tu nikaanza
kumletea pozi.. “…haya nibebe mpaka bafuni..” “..aaah acha hizo basi..!”
“..John unasemaje..? Kama hutaki kunibeba sikupi bikra yangu..” John alikuwa
mdogo ghafla akanisogelea nakunipa mgongo wake ili anibebe.. “..haya panda
basi..” “..aha haa haa John hutaniwi mpenzi..? Nilikuwa nakutania mwenzio..”
Nikachukuwa kopo la kuogea nakuongoza mpaka bafuni kuoga, nilijisafisha vizuri
kila kona na nilipotoka John naye alienda kuoga nakuniacha chumbani kwake peke
yangu.. “..yani leo simuachi mpaka nimuambukize tu kama alivyonifanyia kaka
yake japokuwa bado sijapima..” Nilijisemea peke yangu huku nikichukuwa hela
kwenye kipochi changu nakukimbia mpaka nje kwenye kiduka kununua ‘tomato sauce’
tena ile inayotumikaga kwenye chipsi.. Niliificha nakuingia mpaka ndani kwa
John muda wote huo alikuwa bado hajatoka bafuni hivyo nikaifungua
nakuiweka chini ya uvungu.. John alitoka bafuni na hapo hapo nikamuwahi taulo
lake huku nikimfuta mwilini“..John nikwambie kitu..?” “..yap sema sweetie..”
“..embu zima taa yako, mwenzako naona aibu ndo mara yangu ya kwanza leo..” John
alinielewa nakukimbilia mpaka kwenye kitasa nakuzima taa.. tukiwa katikati ya
tendo huku nikmuigizia john kuwa naogopa nikatumia mwanya huo huo kuvuta ile
chupa ya ‘tomato sauce’ uvunguni kwa kutumia mkono mmoja kisha nikaimwagia
kwenye kiganja changu nakuisambaza kwenye nanii yangu.. Nikamsikilizia ile John
anataka t kufanya hapo hapo nikamsukuma
nakuanza kulia.. “..nilikwambia John, ona sasa ninavyoumia, umeshanitoa bikra,
sina tena bikra na ole wako unisaliti au usinioe John..” John alienda kuwasha
taa haraka haraka kisha akakunja sura yake huku ananikaripia.. “..mpumbavu
mkubwa wee, ushanichafulia shuka unajua bei yake wew..?” “..John, mbona
umenibadilikia hivyo ghafla.. Basi kesho nitakufulia hizo shuka zako..” “..mie
ndio kidume cha mbegu, kama bikra nishaitoa, kukuoa sahau, unahadhi unahadhi ya
kuwa na mimi wewe..” “..ndio mana nilikuwa sitaki unitoe bikra yangu, nyie
wanaume nawajua sana..” “..embu toka toka, nenda hostel kwenu ukajifutie
mijidamu damu yako hiyo, tokaaaa..” John alinifukuza kama mbwa vile, nikavaa
nguo zangu nakuchukuwa kimkoba changu mpaka nje, “..John utanikumbuka siku
moja..” “..akukumbuke nani wewe, niache kukumbukwa Pemba na wachumba zangu eti
nikukumbuke wewe..” Nilijichekea moyoni huku nikijifanya nalia nakutoka mpaka
nje huku nikimwacha John peke yake, nilipofika tu kituoni nikachukuwa simu
yangu nakutuma meseji kwa John.. ‘…John mpenzi, angalia chini ya uvungu wa
kitanda chako, Kama ulidhani umenitoa bikra hapa umechemsha, nakifupi tu,
NIMESHAATHIRIKA… Nilipomaliza kuituma tu, nikaizima simu yangu nakuirudishia
kwenye kipochi huku nikifurahia kitendo nilichomfanyia John, “..hapa na bado,
nitahakikisha nimeumaliza ukoo wao wote…!” Nilijisemea peke yangu huku
nikipanda daladala ya kuelekea posta kwa usiku ule.. Sikuumia moyoni kisa John
ameniacha bali nilikuwa nafuraha ya kumuambukiza ukimwi.. “..mh huenda sina
hata huo ukimwi, halafu najisifu sifu, embu ngoja kesho nikitoka kwenye kipindi
asubuhi niingie hospitali..” Bado nilikuwa nikijiuliza nakujijibu mwenyewe huku
daladala ikikatiza maeneo ya magomeni kuelekea posta.. Mwendo wa kama dakika 20
ulitosheleza kunifikisha pale chuoni ‘Cbe ndani kabisa ambapo ndipo hosteli
zetu zilipo, Nilipofika tu kwenye ‘rumu’ yangu sikumkukuta Aisha hivyo
niliamini tu atakuwa kaenda kujirusha viwanja hivyo breki ya kwanza
nikabadilisha nguo zangu nakuvaa kanga kisha nikaingia bafuni nakujisafisha
zile ‘tomato sauce’ bandia,Nilipomaliza nikarudi mpaka rumu nakuiwasha ile simu
yangu. Meseji kama 5 ziliingia mfululizo na zote zilikuwa zimetokea kwa John,
alikuwa akinitukana na kulaani kitendo nilichomfanyia nakunihakikishia ama
zangu ama zake siku akinishika, nilizisoma zile meseji kisha nikafyonza kwa
dharau nakuzifutilia mbali, “..akijifanya mjanja namfanya kama nilivyomfanya
kaka yake ‘Jerry..’ eti anataka kuoa bikra..?, bikra aende huko kwao Pemba tena
vijijini na umalaya wake ndio atapata mabikra..” Nilizungumza kimoyo moyo huku
hasira kali iliyoambatana na dukuduku rohoni vikinishika nakutamani nimrudie
usiku huu huu..
::
Zilipita kama wiki mbili sikuweza kuonana na john wala kufuatilia habari za
jerry kule hospitali siku hiyo nilipanga niende hospital nikapime afya yangu
ili nijihakikishie kama kweli niliathirika au laah basi siku hiyo nikatoka
darasani mapema na kisha nikarudi hostel kweda kujiandaa … Nilivalia nguo ya
‘baibui’ huku nikijifunika mpaka eneo la paji la uso, kama muislamu vile
sikutaka kusindikizwa na mtu yeyote zaidi ya kubeba kamkoba kangu nakuelekea
hospitali ya mnazi mmoja tena kwa kujiamini… Niliingia mpaka ofisi ya dokta
niliyokuwa nikimfahamu nilimweleza nia yangu yakuja kupima kisha akanichukuwa
damu nakwenda kuipima. Haikupita muda akarudi, “..enh niambie dokta imekuwaje
mzima..” “…unaweza kuniambia huyo mtu mara ya mwisho kukutana naye kimwili ni
lini..?” “..dokta zimeshapita kama wiki mbili sasa..” “…matokeo yako haya hapa
hauna tatizo lo…” “..kweli dokta..?” “..yeah ni kweli kabisa haujaathirika ila
sasa we leo rudi nyumbani halafu njoo baada ya wiki mbili, kwani magonjwa kama
ukimwi ni mpaka mwezi upite ndipo vijidudu vionekane..” Nilichukuwa yale majibu
yangu japokuwa bado nilikuwa kishingo upande nakutokumuamini kabisa dokta japo
huwa ananitibia mara nyingi niumwapo.. Nilienda tena hospitali nyingine lakini
majibu yalinionesha nimeshaathirika, Njia nzima nilikuwa kama mtu
aliyechanganyikiwa, akili, ukichanganya na hasira kali ilinituma niende mpaka
hospitali ile aliyokuwa amelazwa Jerry pale ‘Ocean road’ napo nilipofika ile
wodi sikumkuta na alikuwa amesharuhusiwa kama siku mbili zilizopita.. Kwakuwa
nilivalia ‘baibui’ ilikuwa ni vigumu kuonekana hivyo nikapanda daladala mpaka
msasani alipokuwa anaishi Jerry, nilibadilisha sauti nakuwa nyembamba sana
hivyo mlinzi akaniruhusu nikapita pale getini mpaka sebuleni, nikamkuta Jerry
yupo kwenye kibaiskeli spesho kwa wagonjwa huku akiwa na wanaume wanne na
wanawake kama sita hivi lakini John hakuwepo, Sikuwa muongeaji wala kuonesha
mapepe yeyote, niliwadanganya kuwa mie ni jirani yao japokuwa sijaamia muda
mrefu maeneo haya huku nikijitahidi kuizuia hasira kila nikimwangalia Jerry na
nikikumbuka nilivyopima ukimwi nakukutwa nao, “..haya yote umeyataka wewe
Jerry..” Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimkazia Jerry macho ya hasira..
“..nimeanza na Jerry na sasa hivi ni zamu ya mmojawapo kati ya hawa..”
Niliongea mwenyewe huku nikiwatolea macho wale wanaume waliokuwa wanamuuguza
Jerry.. Haraka haraka nikaaga nakutoka nje, ile namuaga mlinzi, akatoka ndani
mzee mmoja wa makamu huku mkononi kamshika mwanae.. “..bado hujaondoka tu..”
Yule mzee aliniambia kiutani huku akiwa na lafudhi ya ki pemba, “,mie mbona
nimeshafika, nyumbani kwetu jirani tu hapo, sema naifikiria safari yakulekea
kariakoo sasa hivi..” Nilimtega maksudi kumwambia hivyo kwani alikuwa na gari
lake, “..ok, mie kwangu magomeni, twende nitakuacha magomeni uchukue daladala,”
Niliingia siti ya pembeni yake na mtoto wake alikuwa siti ya nyuma kabisa, huku
nikijidai na kujishembendua ovyo.. “..mtoto wako mzuri, anaitwa nani..?”
nilianza uchokozi taratibu bila ya yeye kujijua “..anaitwa Latifah..” “..ohh
anajina zuri, hivi we na Jerry mpoje..?” “..Jerry ni mdogo wangu anayenifuata
akitoka Jerry anafuata John na ndio mtoto wa mwisho kwenye familia yetu..
“..kazi imekwisha, sasa hapa ndio simwachi ng’o, haijalishi ameoa au hajaoa au
anamtoto sijui anajiheshimu.., hapa kwangu kaisha….”
::
We unafikili nini kitafuata baada ta tina kugundua kuwa yule mtu aliempa lift
ni kaka yake na jerry je atafanikiwa kumtega kama alivyotegwa john na jerry na
je ni kweli tina ni muathirika wa virusi vya ukimwi
usikose kufuatilia
kisi hiki cha kusisimua mpaka mwisho kwani sio ya kuikosa kabisa
0 Comments