ALAYA MZOEFU..02
Mtunzi: JONS JONAS
Msimuliaji:CLIFF DAVIS
WhstsApp:0613 321 991
Kabla sijaanza kukusimulia
simulizi hii ya Malaya mzoefu sehemu ya pili, ningependa kukukumbusha jambo
muhimu sana. Tafadhali hakikisha unasubscribe kwenye chaneli hii Simulizi Extra, ili uwe wa kwanza kupata muendelezo
wa simulizi hii pamoja na simulizi nyingine za kuvutia. Pia, usisahau kulike na
kuacha maoni yako; maoni yako ni muhimu sana katika kutusaidia kuboresha
simulizi zetu na kuhakikisha kuwa zinaendelea kukufurahisha. Kwa kufanya hivyo,
utakuwa umetisha kinomanoma!
Sasa
bila kupoteza muda, wacha nikupeleke moja kwa moja kwenye simulizi yetu ya leo,
inayomhusu mrembo Tina, ambaye alitumia mwili wake barabara kujifurahisha.
Mimi
ni Cliff Davis, na ni faraja yangu kubwa kukukaribisha kwenye safari hii ya
kusisimua. Twende tukaanze simulizi hii..
Tuliishia pale ambapo tina na nyemo walikuwa
kwenye mahaba mazito mala wakasikia mlio wa gari nje ya nyumba na nyemo
akagundua kuwa ni kaka yake jerry tena atakuwa amekuja na mke wake ndipo
tunakumbuka nyemo alimbeba tina haraka haraka na kwenda kumficha kwenye buti la
gari pamoja na nguo zake kisha jerry akaondoka na kumuacha tina kwenye buti
akipumua kwa shida sasa tuendelee na mkasa wetu
Nikasikia kwa mbaali sauti ya kufunguliwa kwa
geti kisha kilichofuata ni sauti ya Nyemo akiongea na mtu, lakini kwa
halmashauri yangu ya kichwa niliweza kugundua itakuwa ni sauti ya kaka yake
Nyemo aitwaye Jerry.
Baada ya muda mfupi sikuisikia tena ile sauti.
Niliweza kuivumilia ile hali ya hewa mule ndani iliyochanganyikana na joto na
giza. Haikuchukuwa muda nikahisi kama gari inaondoka, nikiwa bado sijielewi
elewi mara simu yangu ikaita kutoka kwenye nguo zangu ambazo nilikuwa bado
sijazivaa.
Nikaanza zoezi la kuitafuta tena kwa kuufuata
mlio, nikaipata!
"..hallow.."
"..yap, Tina? Nyemo hapa anaongea.. Nipo
ndani ya gari hapa naendesha nataka nikurudishe chuo kwa hiyo anza kuvaa nguo
zako huko huko.."
"..unawazimu nini, unasemaje Nyemoo..? Hebu
nitoe kwanza mwenzio kuna giza sana halafu napumua kwa shida sana.."
"..Huko sikutoi na nakurudisha chuoni
kwenu, vaa nguo zako haraka haraka.."
"..kwa taarifa yako Nyemo hapa sivai
chochote ni bora unipeleke kwako tu nikiwa hivihivi nilivyo..."
"..nadhani we utakuwa na matatizo ya akili,
miye naishi na wazazi wangu.. sasa kama unajifanya mbishi ngoja
nikuoneshe..."
Hapo hapo Nyemo akanikatia simu...
Niliendelea kuzubaa ndani ya gari nikiwa mbishi
wa kuvaa nguo zangu, niliamini kwa asilimia zote Nyemo atanipeleka tu hata kama
ni ghetto ili mradi animalizie hii hamu niliyomuanzishia.
Mara nikahisi gari imesimama, sijakaa sawa Nyemo
akanifungulia mule nyuma ya gari 'boneti'.
"...haya nimekwambia vaa nguo zako utoke
fasta mpumbavu mkubwa wee.."
"..sitoki Nyemo...."
"..unasemaje we malaya..?"
"..sitoki mpaka unihakikishie kuwa
unanipeleka kwako..."
Nilipotoa tu kauli hiyo Nyemo alioneshwa
kuchukizwa nami, aliubamiza ule mlango wa boneti nilioakuwamo kisha nikashangaa
gari kutoka kwa spidi kali tofauti na mwanzoni.
Safari iliendelea, joto kali lililokuwa limeanza
kuniandama katika mwili wangu lilinifanya nipige ngumi ule mlango kwa nguvu
zote lengo langu kubwa kumfanya Nyemo atelekeze kile nilichokuwa nakitaka.
***
Mwendo wa taratibu niliouanza kuusikia, nilihisi
kama haitakuwa ni foleni basi itakuwa tunaingia huko anaponipeleka Nyemo.
Kelele za watu zilichochea zaidi hisia zangu,
mara gari likasimama tena, ule mlango wa nyuma niliokuwamo ukafunguliwa.
Kuhamaki, giza lilikuwa limeshaanza kuzama na sikuelewa kabisa eneo niliopo.
"...huyu hapa mtoeni, malaya mkubwa
sana.."
"..niacheni, niachieeeni..."
Walikuwa ni vijana wa mtaani 'wahuni' ambapo
Nyemo alikuwa amewasiliana nao wanitoe mule ndani ya gari.
Walinivuta kwa nguvu zote mpaka wakafanikiwa
kunitoa wakinitupia nguo zangu...
Watu walianza kujaa lile eneo lakini Tina mimi
sikuwa hata na mshipa wa aibu, ndiyo kwanza nilizivaa nguo zangu, nikachukuwa
kibegi changu.
"...Nyemo..? Nyemo, miye ndio Tina, ahsante
kwa kunidhalilisha.."
Nilimtamkia hayo maneno, aliniangalia kisha
akaingia ndani ya gari lake na kuondoka akiwa na vijana wake walionishusha
kinguvu..
Sikuwa na namna tena, niliondoka zangu huku ule
umati ukizinizomea na wengine kunishangaa. Njia nzima nilikuwa sijiamini amini
kwa kitendo alichonifanyia Nyemo.
"..samahani kaka hapa ni wapi..?"
Ilinibidi niulize baada ya kunyosha njia nisiyoifahamu...
"...hapa ni Mabibo Loyola, kwani we
unaelekea wapi..?"
"..daladala za kuelekea Posta zipo
wapi..?"
"..nenda na hii njia moja kwa moja na
ukifika mwisho mwa lile geti la shule ya Sekondari Loyola, utazikuta daladala
pale.."
Niliendelea na safari yangu mpaka nikazikuta
daladala za kuelekea posta nikapanda.
Ndani ya dakika kama arobaini nilikuwa tayari
nipo chuoni 'Cbe' nilijitahidi kuweka tabasamu ili kuficha wenzangu lakini
kabla sijaingia getini simu yangu niliyokuwa nimeweka kwenye
kibegi ikaingia meseji, kwa haraka haraka
nikaichukua na kuanza kuisoma..
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI KWENU KUKUCHUKUWA
TWENDE KWANGU..."
Nikaangalia mara mbili mbili kujua imetokea
wapi, nikaja kugundua kuwa ni Jerry...
moyo wangu ni kama ulilipuka na kujawa na maswali mengi ambayo mwisho wake
yalikosa majawabu nilitulia kwa muda wa kama dakika tano pale getini nikiwa
nimeduwaa na nisijue la kufanya ghafla nilistushwa na kelele za aisha
“…Tina…we tina…tina
amka basi…”
***
"...Aisha, Aisha Jerry yuko wapi..?"
Nilishtuka usingizini na kitu cha kwanza
nikumuuliza rafiki yangu Aisha.
"..nawewe Tina kwa ndoto zako za mchana
mchana tumeshakuchoka sasa, huyo Jerry ndio nani..?"
Maskini Tina mimi kumbe yote ile ilikuwa ni
ndoto eti mpaka nimekutana na mdogo wake Jerry anaitwa Nyemo na mpaka
nikamng'ang'ania kwenda ku sex naye duh..
Nilijichekea kimoyo moyo nikivuta kumbukumbu
vizuri imekuwaje kuwaje ndoto hii, ndipo wazo likanijia kuwa mara ya mwisho
Jerry alinipigia simu kuwa amepata dharula mara moja ataenda Temeke, hivyo
nilikasirika na kurudi zangu mpaka bwenini kubadili nguo zangu kisha nikajilaza
ndipo usingizi uliponipitia na kuanza kuoto ndoto hizi..
"..natamani ingekuwa kweli..? Mbona huyo
Nyemo angenitambua...si kwa kunitelekeza kule mbele za watu!"
Nilijisemea mwenyewe nikichukuwa simu na kutaka
kumpigia Jerry, nilihangaika kuitafuta namba yake bila mafanikio lakini
nikakumbuka kuwa niliifuta kipindi kile aliponiambia amepata dharula mara moja.
"...sasa namba yake nitaipata wapi..?"
Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani,
muda wote huo Aisha alikuwa akinitolea macho,
"..yeees..!! Furaha ilinirudia pale
nilipokiona kikadi chake cha ofisini alichonipa kilikuwa kimeandikwa hivi,
"..Jerry .M. Ng'onye..
Asst... Supplies officer..
Fax ; +255 623 321 991
Mob ; +255 785 194 885"
Nikaikopi ile namba haraka haraka kisha nikai
sevu upya na kumpigia..
"..mambo Jerry.."
"..enhe niambie Tina.."
"..jamani niambie basi unatoka huko saa
ngapi mwenzako nimeshachoka hivyo kukusubiri.."
"..unaskia Tina, wala usijali yaani swala
la kuonana na wewe lipo pale pale.."
"..nikuulize kitu Jerry..?"
"..uliza tu wala usijali.."
"..umeoa..?"
"..dah nadhani mwakani ndio nina mpango huo
lakini kiukweli nina mchumba tu.."
Moyo ukanilipuka, huku nikijihisi vinyweleo
vyangu mwilini vimesimama ama kupulizwa na upepo wa ghafla..
"..unaishi naye huyo mwanamke.."
Nijikaza na kumuuliza kwa makusudi..
"..hapana, yeye anaishi na kufanyakazi huko
huko Tanga ila miye naishi peke yangu hapa Dar.."
"..Jerry huna mdogo wako..?"
Nilimuuliza kwa makusudi.
"..mh hapana, ila nina dada tu.. Kwa nini
umeamua kuniuliza hivyo..?"
"..amh, nilitaka tu kujua jamani, kwani ni
vibaya Jerry..?"
"..ok, nina muda mfupi nitatoka huku
Temeke, lakini itanibidi niunganishe moja kwa moja mpaka home nikabadili na
nguo kabisa then tutatoka usiku kwa ajili ya 'dinner'.."
Furaha iliniongezeka mara mbili na ilivyokuwa.
"...jamani Jerry, mbona miye niko tayari
hata sasa si unipitie tu nikapajue na kwak..."
Kabla sijamaliza kuongea simu ikakata, nikajua
labda huenda Jerry amekasirika nilivyomwambia, lakini haikuwa hivyo kwani
nilipouliza salio langu lilikuwa ni sh. 0.
Nikiwa bado najishangaa, mara simu ikapigwa..
"...nitajitahidi kupambana na foleni,
naanza safari ya kuja hapo chuoni kwenu 'be prepared..'"
"..miye mbona niko tayari ni wewe tu
Jerry.."
Moyo
ulijawa na furaha ya kutosha hivyo sikuchelewa nikavuta begi langu na kutafuta
nguo ambayo ni lazima jerry akiiona atanitamani
“…yes
namvalia hizi nguo akiniona ni lazima anase kwenye mtego wangu kama nimemkosa
mdogo wake kwenye ndoto basi yeye leo simkosi…”
Nilijisemea
kimoyomoyo huku nikiwa navaa nguo zangu.
****
Pedo nyeusi yenye vitundu vidogo vidogo, nikiwa
na viatu vya chini, kichwani nikiwa na wigi la kubandika, blauzi yenye mistari
ya pinki na nyeusi mikononi nikiwa na bangiri kubwa nyeupe na nyeusi ndivyo nilivyovalia
bila kusahau pochi yangu ndogo nyeusi.
Nilimpigia simu tena Jerry kujua alipofika...
"...enhe niambie jamani umefika
wapi..?"
"...ndio nakaribia maeneo ya Mnazi mmoja,
nikukute kwa nje basi ili iwe rahisi kuendelea na safari.."
"..pouwa.."
Giza lilikuwa limeshazama ndicho kilichonipa
ujasiri zaidi wa kutoka nje kwa makogo yote...
Haikuchukuwa muda nikawa nimeshaonana na Jerry,
alionesha kuchoka sana kwa kazi ukijumlisha na mizunguko,
"..mh, hapa atake asitake leo lazima alale
na Tina miye.."
Nilijisemea nikimlegezea macho Jerry aliyekuwa
anaendesha gari kuelekea kwake.
"..enh, niambie Jerry mbona kimya
ghafla.."
"..unafikiri nina usemi basi, enh hebu
niambie we kabila gani..?"
"..miye ni mdigo mtu wa Tanga.. Wewe
je..?"
"..miye mpemba, kwani unanionaje..?"
"..ndiyo maana, nywele, sura na weupe
ulionao vinajitosheleza kujua..."
Stori zilinoga mpaka nikaona kama safari fupi,
ilituchukuwa kama dakika 40 hivi kufika anapoishi Jerry.
Alikuwa anaishi jumba kubwa mwenyewe na mlinzi,
tulipoingia ndani tu Jerry alipitiliza mpaka chumbani kwake huku Tina miye
akiniacha sebuleni.
"..hajanijua tu.."
Niliyarekebisha maziwa yangu vizuri, nikainuka
pale kwenye kochi na kuongoza mpaka chumbani kwa Jerry. Nikaanza uchokozi wa
kubisha hodi mpaka akafungua.
"..vipi unasemaje tena Tina..?"
"..am, mh, mh plizi Jerry unaniruhusu
niingie kukuogesha...?
"...anhaaa Tina hebu acha utani wako
huo..."
"...Jerry huniamini, au ndiyo unanionea
aibu..?"
Jerry alikuwa hajiamini amini kama Tina miye
naweza nikamuuliza maswali yale na tena nikiwa 'siriaz' kabisa..
"..nikwambie kitu Tina.."
"..yap, niambie Jerry..!"
“…Tafadhari
nakuomba unisubiri tu hapo sebleni kwa sababu mimi naoga chapchap tu
“…Kwani jerry wewe
wasiwasi wako ni nini…?harafu wala usiniogope mimi nipo period na hutuwezi
fanya chochote…”
“…Apana tina wala
sijafikilia hayo ila nakuomba tu kwa leo acha nioge mwenyewe wewe utaniogesha
siku nyingine…”
Nililudi sebuleni huku
nikijaribu kufikilia ni njia gani ambayo jerry atanasa kwani plani hii ya
kwanza tayari imeshafeli nikiwa naendelea kuumiza kichwa ni jinsi gani
nitampata jerry ghafla jerry alitoka akiwa tayari ameshapendeza
“…Mimi niko tayari
tunaweza kuondoka…!
Sikuweza kujibu lolote
miye mda wote akili ilikuwa inawaza ni jinsi gani leo jerry anaujua mwili wangu
hivyo nilichukua kipochi changu na kuongoza kutoka nje hadi kwenye
gari..Tukaingia kwenye gari na safari ya kuelekea kupata dinner ikaanza…Kimya
kilitawala sana kwenye gari kati yetu isipokua sauti ndogo ya mziki ndio
iliyokuwa ikisindikiza safari yetu…niliwaza sana ni jinsi gani leo jerry
atategeka…hatimae nikapata plani nyingine
“….kwa plan hii hawezi
kutoka labda jerry awe hanisi…?
Nilijisemea kimoyomoyo
na haraka nikaanza vimbwanga vyangu
“…Jerry yaani
nimemaliza period toka jana sasa leo nilivaa ped kwa taadhari tu lakini naona
kama inanichoma…”
“…Kwa hiyo unatakaje
tina…?
“…Mimi naona
inanifanya nisikae kwa Amani natamani kuitoa kabisa…!
“…tunapoenda
tunakaribia kufika hivyo utaenda chooni kwenda kuitoa…!
“…Mimi naona huko ni
mbali kwa jinsi inavyoniumiza hacha tu nitoe hapa hapa…!
“…Utatoaje sasa hapa
ndani ya gari subiri tufike…!?
Ndio kwanza nikawa
kama si msikii jerry anachosema mimi nikaanza harakati zangu za kuhakikisha
jerry anaingia kwenye mtego wangu…..Nikavua kile
kipedo changu
nakutoa 'pedi' feki niliyokuwa
nimeivaa ambapo ilikuwa haina
hata chembe ya damu, kisha
nikamuonesha Jerry, nikaitupa nje
huku nijirudishia nguo yangu
vizuri nakumchekea jerry ambaye
alikuwa
kapigwa na
butwaa..akiniangalia huku akiwa haamini kama mm
ningeweza kufanya vile
"..Jerry angalia mbele jamani tusije
tugagongwa bure.."
Jerry alikuwa bado kanitolea
macho huku anaendesha gari
lakini tukiwa katika mwendo
wakawaida. Kunakipindi
alishindwa kuzuia hisia zake
kabisa nakujikuta mkono mmoja
anaendesha gari na mwingine
akipapasa mapaja yangu..
"...Jerry mbona hivyo jamani
embu niache mwenzio.."
Nilimwambia kiutani ili niwapime
wanaume wakoje, kwa Jerry
hakutaka kunielewa wala
kusikiliza chochote, kuna muda
alipunguza spidi kabisa nakufanya
magari ya nyuma yetu kutupigia
makelele kwa honi.
Ndani ya kama nusu saa tulikuwa
tumeshafika Makumbusho hivyo
tukatafuta sehemu nzuri ya kukaa
na kisha Jerry akaagizia chakula
tena kile cha asili tukala.
"..kwahiyo Jerry live band itaanza
sa ngapi hapa..?"
Nilianza tena kumchokoza Jerry..
"..kwanza nimeghairi live band
itakuwa kwangu leo.."
Tulipomaliza kula tu Jerry
alinishika mkono..
"..twende tu nyumbani kwangu
kwanza akili yangu hata haipo
hapa.."
Tuliingia kwenye gari nakuondoka
zetu huku nikifurahia ushindi
wakumlegeza Jerry kwani
nilishajua lazim nitasex naye tu
huko kwake.
Njia nzima Jerry aliendesha gari
kwa kasi ya ajabu huku safari hii
macho akiyaelekeza mbele tu
mpaka tulivyofika kwake..
Kitendo cha yeye kufunga tu
mlango wake wa sebuleni,
"..haya sasa Jerry tuanze live band
sasa.."
Kwa ujasiri niliokuwa nao mtoto
wakike mie, nilianza kuchojoa
blauzi na kuacha eneo la kifua change kuwa wazi
na vile chuchu zangu zilikuwa zimesimama, zilimfanya Jerry achanganyikiwe na
kunivamia mwilini na kuanza kunishika shika chuchu zangu na kunifanya mwili
wote unisisimke Nilimvulia na pedo yangu
niliyokuwa nimeivaa hivyo
nikabakiwa na nguo ya ndani peke yake.
Jerry alionesha kuchanganyikiwa
na umbo langu kwani nilikuwa
nimeumbika sana kiuno ninacho
Tina mie , ukija maeneo ya nyuma
utasema labda mchina kumbe
'body' la ukweli tena la kule
kwetu Tanga kabisaa..
Nilianza kutumia utundu wa
kucha zangu kumparua Jerry
Jerry aliishiwa nguvu kabisa
nikamtania kama nataka kuvaa
nguo zangu..
"..no noo Tina unafanyaje tena
jamani hatujamaliza mbona..?"
"..kwangu mie nimeshalizika,
twende nirudishe chuoni
jamani..?"
Jerry alibakiwa mdomo wazi
nakuishiwa nguvu huku
nikimshuhudia akitoa machozi na kuwa mpore….
Nikaivua ile pedo tena,
nakumfanya Jerry apagawe upya
nakuanza kwa kunishika shika
makalio yangu..
"..Jerry inatosha sasa kunishika
shika nataka..."
"..nikwambie kitu Tina...?"
"..yeah, niambie.."
"..si unajua mie ni 'Mpemba' na
sisi kawaida yetu mwanamke
unatakiwa umfan.."
"..whaaat..? Unasemaje Jerry..?"
Tayari nilikuwa nimeshamulewa
Jerry alichokuwa anamaanisha
japo nilikuwa nasikia tu kwa watu
kuhusiana na hawa wapemba..
"..Jerry, kwanza mie naogopa, pili
sijawahi kufanya mchezo huo
hata siku moja na haitatokea.."
"..pliz Tina nionee huruma
mwenzio.."
"..nikuonee huruma kwa
upumbavu huo, hivi Jerry
umeshanichukulia mie malaya
siyo..?"
"...ok basi nimekuelewa, sitakuomba tena.."
"..hata hivyo nimeghairi staki, nirudishe chuoni kwetu kama hutaki nifungulie mlango niondoke mwenyewe pliiz..?"
Kijasho chembamba kilikuwa
kimeshaanza kumtoka Jerry
kutokana na kulegea kwake
kulimfanya aonekane na sura ya
huruma sana..
"..Jerry, nakupa kimoja tu, tena
tena kawaida na iwe mwanzo na
mwisho.."
"..oh thanks thanks.."
Jerry alionesha kutabasamu na
kutojiamini amini kwa
nilichomwambia mpaka pale
nilipovua tena kila kitu
nakubaki mtupu,
"..Jerry..?"
"..yap Tina.."
"..where is condom..?"
"..am mh mh mh mh sina.."
"..wee mwanaume gani usiye hata
na kinga kwako jamani..? Sasa hivi
sitanii ndio sikupi kabisaa.."
"..tufanye tu Tina, embu ona
ulivyonilegeza..?"
"...eti tufanye tu..? Na ukinipa
mimba..?"
"..nitalea.."
"..eeh eeh embu wacha
kunichekesha Jerry.."
Nilimuonea huruma kwa mara
nyingine huku nikivaa sura ya Tina
mwenyewe tena play girl haswaa
aliyeshindikana..
"..hapa hapatufai embu twende
huku.."
Nilimvuta mkono vile vile
alivyokuwa alivyokuwa mtupu kisha
nikaongozana naye mpaka
chumbani kwake, na tulipofika tu
sikilaza damu haraka haraka tukaanza mchezo
uliodumu kwa muda wa dakika 45 hakika jerry alikuwa fundi haswa kwani ndani ya
hizo dakika 45 alikuwa tayari kashapanda mlima mara mbili hakika nilienjoy
sana...
Tulivyomaliza
tu Jerry akawa
amechoka sana hivyo akapitiwa
na usingizi nakuniacha pale
kitandani usingizi ukininyemelea
taaratibu..
****
Nilishtuka usiku sana na
kilichonifanya nishtuke ni
maumivu niliyokuwa nikiyasikia
kutoka nyuma kwangu..
"...Jerry? Jerry ndio nini
unanifanyia jamani..? Si
nilishakwambia sipendi mie.."
Jerry alikuwa nyuma kwangu
akiniingilia kinyume na maumbile
"..pliz Tina niache nimalizie.."
Nilimwangalia kwa jicho la hasira
huku kwikwi ikinibana na mchozi
kuanza kunidondoka kwani
sijawahi kabisa kufanyiwa mchezo
huu tangu niwe play gal.
"...sitaki..?"
"..sasa kama hutaki toka ndani
kwangu tokaa.."
Jerry alinibadilikia ghafla
nakunifanya nijutie kukubali kuja
hapa kwake.
Tulibishana naye mpaka akazima
taa nakunifunga mdomo kwa
nguvu kisha akaniingilia kinguvu
na kuniachia maumivu makali sana..
"..Tina pole eeh, lakini utazoea tu.."
Akiwa bado anaongea nilimuwahi
na bonge la kibao kisha
nikachukuwa nguo zangu
nakuongoza mpaka sebuleni na
nilipofika nikazivaa nguo zangu
haraka haraka,
Sikutaka hata kujua ni saa ngapi,
nilijipa moyo kuwa nitapata
daladala tu kwani Dar huwa
daladala haziishi. Ile nataka
kufungua tu mlango Jerry akawa
nayeye ameshafika sebuleni..
"..unakwenda wapi we malaya..?"
"..Jerry inamaana nimeshashuka
thamani na sasa hivi unaniita
malaya siyo..?"
"..we malaya tu, asa unachobisha
nini? Kama kukunanii tayari tena
kavu kavu, si mbele wala nyuma
mpumbavu mkubwa wee.."
Nilibakiwa na hasira kali rohoni,
nilimwangalia Jerry kwa jicho
lililojawa na ghadhabu kisha,
"...Jerry huu ni mwanzo tu picha
lenyewe bado linakuja.."
Nilimwambia kwa ukali kisha
nikafungua ule mlango wa
sebuleni nakuubamiza kisha
nikaenda mpaka getini mlinzi
akanifungulia nikatoka zangu nje
kabisa.
Sikuwa hata na mshipa wa aibu
na wala sikutaka hata kuangalia
pembeni zaidi kushika viatu
vyangu mkononi nakuongoza
mpaka kituoni..
Hakukuwa na hata dalili yoyote
ya daladala, nilikaa sana pale
kituoni mpaka bajaj ikapita
nikaipungia mkono,
"...hapa mpaka chuoni cbe sh.
Ngapi..?"
"..nipe elfu 5 twende.."
Sikuwa na njia yoyote zaidi ya
kutoka katika lile eneo huku
nikifungua pochi yangu kwani
hela ya kujilinda nilikuwa nayo..
"..lakini dada mbona unaonekana
kama si salama huko utokako?"
Alikuwa ni dereva wa kibajaji
akiniongelesha..
"..Wee mkaka embu koma,
maswali gani hayo unaniuliza.."
"..kwahiyo dada kujua ni vibaya
kwani..? Sura yako siyo ngeni
kabisa..?"
"..nadhani kazi ya kuendesha hiki
kibajaji imekushinda ila kufuatilia
watu ndio unaipenda..?"
"..lakini dada, jioni ya leo
nilikuona na Jerry mtata kwenye
gari yake mkiingia naye kwake
sasa ghafla nakuona upo kwenye
hali hiyo, na usiku sana.."
"..enhe kama ulituona tatizo lako
ni nini haswa..."
"..dah unajua nini 'aunt' yule Jerry
mtaa mzima anachukiwa
nakunyooshewa vidole nakila
mtu, Jerry ni malaya wa kutupwa
na anaukimwi anasambaza kwa
watu makusudi.."
"..embu achana na hizo stori
zisizo na kichwa wala miguu.."
"..sawa bwana, juzi tumetoka
kumzika Jamila... Na alikuwa
anatembea na Jerry huyo huyo,
pia Jerry akishajua
amekuambukiza hapo hapo
lazima akutimue kwake, yani ndio
mchezo wake huo.."
"...unasemajeee..?
***
:: We unafikili nini kitaendelea baada ya
kuambiwa kuwa jerry ni muathirika wa virusi vya ukimwi na kazi yake ni
kusambaza kwa makusudi na akishajua kuwa ameshakuambukiza ni lazima akufukuze
nyumbani kwake…?
usikose kufuatilia
kisi hiki cha kusisimua mpaka mwisho kwani sio ya kuikosa kabisa
:: USISAHAU KUSABSCRIBE,KULIKE NA KUKOMENT bila
kusahau kuSHARE kwa wingi Zaidi ili iwafikie watu wengi zaidi jina langu naitwa
cliff davis bila kumsahau mtunzi wa simulizi hii JONS JONAS amabe anapatikana
kwa namba hizi 013321991 hadi wakati mwingine katka mwendelezo huu wa kusisimua
asante kwa time yako
0 Comments