MALAYA MZOEFU..01

Mtunzi: JONS JONAS

WhstsApp:0613 321 991


"...Jamani Jamani mi mwenzenu kwanza ni mgeni wala sijui utaratibu wa hapa, pili naomba mnirudishie tu huo mkoba wangu.." Niliongea kwa kuchanganyikiwa.
Mkoba wangu ulikuwa umeshikiliwa ndani ya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Kijasho chembamba kilikuwa kikinitiririka licha ya kuwa na viyovyozi mule ndani.
Nikiwa bado naendelea kushangaa na kulalamika mara akatokea mkaka mmoja mweupe, shombeshombe aliyevalia sare za wafanyakazi wa ndege. Handsome haswaaaa!
"...hebu niambie tatizo nini dada, nimekufuatilia kupitia dirishani pale kwa muda mrefu ukilalamika..?"
".. Sikia kaka yangu, leo ndio mara yangu ya kwanza kupanda ndege. Nashangaa sana wakati natoka Mwanza hawakunizuia hivi, nimefika hapa Dar eti wamezuia mkoba wangu wanadai kuwa hairuhusiwi kusafiri na vipodozi kwenye ndege.. Ni haki kweli jamani..?"
"..umesema unaitwa nani..?"
"...Naitwa Tina!’’
‘’Nisikilize Tina, siyo hapa tu nchini kwetu, mashirika mengi ya ndege huwa
Hayaruhusu vitu kama hivi kusafiri navyo kwa sababu mbalimbali.."
"..Sawa lakini nimeshafika Dar na sikulijua hilo, unanisaidiaje sasa kaka yangu?’’
Yule kaka alifikiria kwa muda, akaniangalia usoni!
"..Subiri kwanza hapo hapo nakuja..."
Aliondoka na kuingia kwenye ofisi zao, baada ya muda akarudi akiwa na mkoba wangu..
"..Sasa unaruhusiwa kwenda na vitu vyako..."
"..oh thanks."
Sikutaka kurudi nyuma Tina mimi, nikachukuwa mikoba yangu. Kitendo cha kupiga hatua tatu tu.
"..Tina.? Tina..?"
Sauti ya Yule kaka iliita tena. Nikabaki njia panda, huenda wakachukua tena mkoba wangu. Nilitaka kuendelea na safari lakini moyo ulikuwa mzito, nikasimama nikimsubiria anifuate...
"..Sorry! Nimesahau kitu.."
Nikabaki sijielewi elewi anamaanisha nini..
"...umesahau kitu gani tena kwangu..?" Akaingiza mkono wake mfukoni na kutoa kikaratasi kisha akanipa..
"..Business Card yangu hiyo.., naitwa Jerry.."
Nilichukuwa na kuonesha tabasamu 'dimpozi' zangu za uongo na kweli nikizilazimisha.
"..Hanijui kama chuoni wananiita Tina Zoa Zoa enh..." Nilijisemea mwenyewe nikijiondokea mpaka hosteli zetu za chuo cha biashara (CBE).

***
Asikwambie mtu kuna wanaume ukikutana nao kwa mara ya kwanza tena kwenye tukio kama lililonitokea mwenzenu miye huwezi kuacha kuwawaza hasa kwa wema wao na muonekano. Usiku wote usingizi wangu ulikuwa wa mang’amu ng’amu hadi kunakucha. Nilijikuta nikikosa amani kwa muda huku jina la Jerry likijaa mdomoni na kwenye kichwa changu.
Nilikuwa na kipindi darasani asubuhi, unajua nini nilifanya!
Ndiyo kwanza usingizi ulikuwa ukinivuta na mawazo ya hapa na pale.Baada ya kushauriana na akili yangu kwa muda mrefu nikainuka na kuingia bafuni. Kabla sijajifuta nikakumbuka ile business card aliyonipa Jerry. Nikatafuta eneo la namba zake nikazikopi kwa makini kwenye simu yangu na kuanza kwa kutuma meseji.
'’..morning Jerry..'’ Haikuchukuwa muda akapiga..
"..hallow.."
"..yap mambo Jerry..?"
"..pouwa, naongea na nani..?"
"..otea, sauti ya nani hii..?"
Nilimtega kwa makusudi ili nijue kama ni kicheche...
"..mmhh.. Sijui bwana niambie tu.."
"..aukey naitwa Tina.."
"..Tina.. Tina.. (aliwaza kwa muda).
‘’Tina yule wa jana aliyezuiliwa mkoba wa vipodozi..?"
"..Exactly..(sawa kabisa)"
"..Jerry..?" Niliita kisha nikakaa kimya nisijue ntamwanzaje kwani kiukweli nilishamtamani toka jana
na ni lazima aujue mwili wangu na hivi handsome tena mweupe...(Ugonjwa wangu miye huo).
"..mmh ningependa kujua una.."
Kabla sijamalizia kumwambia akaniwahi..
"..Tina..? Sorry kuna kazi imetokea hapa fasta nitakupigia baada ya muda.." Akakata simu..
"..hapa leo leo lazima kieleweke na hivi toka nimetoka Mwanza sija sex na mwanaume..? Huu
mshawasha wote lazima aumalize.."
Nilijiwazia zangu. Nilitaka kumtumia tena meseji Jerry, kabla sijaandika kitu akapiga tena...
"..tayari, haya ulikuwa unasema..?"
"..Natafuta kazi, ninaweza kupata...?" Nilitania.
"..kazi.? Kazi gani unataka..."
"..i mean' nahitaji niwe mfanyakazi wako wa ndani na chochote utakacho
nitatekeleza, yaani chochote kile! Au umeshaoa..?" Nilimtega.
"..Tina.? Kumbe una vituko hivyo..? Mi sijaoa..."
Nilikaa kwa muda kimyta. Mwishowe mshipa wa aibu nikauweka pembeni Tina miye..
"...ok, nimekumis japo nikuone ukitoka ofisini.. Kwani unaishi wapi..?" Akanikatia simu kwa mara nyingine..
"..shiit.., bado nitampata tu tena leo leo lazima nimnyonye nanii yake mpaka nichoke.. na
nitakavyomkatikia hadi atajuta mbona..."
Niliendelea kujipa moyo nikijiongea peke yangu. Nikamalizia kujifuta vizuri na kukaa kitandani.
Hadi inakatika nusu saa, Jerry hakuwa amenipigia wala kunitumia meseji. Nikawaza na kuwazua isije kuwa amekasirika. Nikampigia tena simu,
"..hallow..!"
"..yap Tina, nimebanwa tena hapa nashindwa hata kuongea huku nafanyakazi, lakini usihofu nitakupigia baada ya muda.."
"..hapana miye sitaki bwana, kwanza niambie tutaonana leo..?" Nikaanza kumdekea kana kwamba ndo ameshakuwa mpenzi wangu.. Si ameniambia mwenyewe hajaoa na ana pesa!
"..Leo nitawahi kutoka ofisini hivyo ondoa wasiwasi kabisa lazima tutaonana.."
"...ok, kazi njema basi.."
"..pouwa baadaye.."
Nilijilaza zangu kitandani kwa mara ya pili. Nilivyoamka wenzangu tayari walikuwa wameshatoka madarasani, walifikia kwenye business card yangu ile niliyopewa na Jerry.
"..Tina we nomaa, naona mambo yako makubwa shosti.." Aisha rafiki yangu wa karibu alinisemesha.
"..mh na wewe Aisha kwa kuchunguza mambo..?"
"..kwa hiyo toka umetoka huko Mwanza tumeanza kufichana siyo..?"
"...Kipi cha kukuficha jamani huyo ni rafi.."
Kabla sijamalizia kumwambia, mara simu yangu ikaita, haraka haraka nikaangalia jina ni Jerry..
"..yap, niambie Jerry..."
"..mi ndio natoka ofisini nipo na gari tuonane wapi..?" Nilikaa kimya kama dakika moja, nikamjibu..
"...njoo hadi chuoni hapa CBE ukifika maeneo ya hapa nipigie.." Muda wote huo Aisha alikuwa akinishangaa.
"..Shosti naweza kwenda na mimi..?"
Aisha aliuliza na kunifanya nimuangalie kwa jicho la dharau, nikampa dongo kama kawaida yetu ya kutaniana..
"..na wewe..? Na wewe ukakatikie au ukanishikie nanii yake.."
‘’Basi yaishe mwengu naona umeokota dodo leo!’’
‘’ndiyo uache kudandia treni kwa mbele!’’
Hamu kubwa kuanzia mwilini hadi kwenye akili ilikuwa kuisubiria simu ya b
Jerry. Baada ya kusubiri kwa zaidi ya dakika 30, nikapiga kujua amefika wapi.
"...hallow Jerry.."
"..sorry sana.."
"...Nimepigiwa simu, nahitajika kwa shangazi kuna matatizo yametokea.."
"..unasemaje Jerry wangu jamani..?"
"..wala usihofu hakijaharibika kitu, kwani suala la kuonana bado lipo pale pale.."
Niliona kama ananizingua, nikamkatia simu. Hasira kali ilinishika huku nikiishiwa na pozi.
"...siyo mbaya, ana bahati..? Yaani leo, mbona angeisoma namba..?"
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikiangalia namba yake ya simu mara mbili mbili nakuifutilia kabisa..
Baada ya muda nikashangaa napigiwa simu na namba ngeni tena ya airtel, nikaipokea fasta..
"..bila shaka nazungumza na Tina.."
"..yap, ndio miye nani mwenzangu.."
"..mie ni mdogo wake na Jerry naitwa Nyemo, bro kanituma nije nikuchukuwe.."
"..kwani yeye yuko wapi na wewe uko wapi..?"
"..kaelekea kwa shangazi Temeke ila mie nipo hapa chuoni CBE nje kabisa.."
Furaha ilinijia upya kabisa, sikutaka hata kupoteza muda, nikaichukua nguo yangu ile ile nakuivaa, nikachukuwa na mkoba wangu nikauwekea kanga na vipodozi. Nikatoka na kujifanya kama naenda darasani kujisomea kumbe naelekea nje kabisa, nilimpigia simu huyo mdogo wake..
"..enhe, upo upande gani..?"
"..nipo upande wa huku karibu na chuo cha DIT nipo kwenye gari Toyota Noah nyeusi namba T612 ECB.."
Tina miye tena kwa kukariri, wala sikukosea kuliona hilo gari.
"..oh, Tina..?"
"..ndio mimi, mambo vipi..?"
Maajabu haya! Sikuamini kama Jerry atakuwa na mdogo wake mzuri namna hii, tena shombe shombe mweupee...ukisikia kula ng’ombe na ndama wake ndiyo leo sasa!
"...Huyo Jerry mwache kwanza aendeleee kujifanya mtu wa mambo mengi.. Sasa namalizana na mdogo wake tena leo leo.."
Nilijisemea mwenyewe mawazo yakiwa yamebadilika ghafla, pale pale kabla hajaliwasha gari nikaanza kwa kumtega, nilipandisha kisketi changu mpaka nguo ya ndani ikaonekana, Nyemo akanitolea macho mapaja yangu, nikayashika maziwa yangu vizuri, nikayatingisha kidogo mpaka yakapanda juu kama yanataka kutoka.
Bado Nyemo alikuwa kazubaa tu..
"..Nyemo endesha gari basi twende..

"..lakini si umeshajua tunaelekea wapi..?"
"...si unanipeleka alipo Jerry au..?"
"...mie Bro Jerry kaniambia nije nikuchukue kisha nikupeke mpaka kwake, hivyo akitoka huko Temeke atakukuta..."
"...ok, nimekuelewa Nyemo.."
Baada ya hapo Nyemo aliwasha gari na safari ya kuelekea huko kwa Jerry ikaanza huku mie akili ikinibadilika na kujikuta nikimtamani njia zote tulizopita.
"...Nyemo hizo ni nywele zako halisi.."
Nilikuwa mtu wa kumchokoza Nyemo njiani, kwani kiukweli nywele zake zilikuwa kama zimewekewa dawa na ukichanganya na weupe wa shombeshombe aliokuwa nao daah..
Ilituchukuwa kama nusu saa mpaka kufika maeneo ya Msasani ambapo alikuwa akiishi Jerry...
"..Nyemo nikuulize kitu..?"
"..uliza tu wala usihofu.."
"...nakuomba niambie ukweli, Jerry ameshaoa..?"
Nilimtega maksudi kwa swali hilo baada ya kuona jumba aliokuwa akiishi Jerry.
Nyemo alisita, akawa kama hajiamini amini jinsi ya kunijibu hivyo akilini mwangu nikawa nimeshajua kuwa atakuwa ameoa.
"..hata kama, mie hata huyu mdogo wake tu atanitosha.."
Nilijisemea kimyakimya nikimlegezea jicho la kimahaba Nyemo kisha akashuka kunifungulia mlango wa gari. Nilishuka kama vile mtoto wa malkia..
Kulikuwa na geti ndani yake magari matatu. Masofa ya kisasa, meza za vioo na vistuli vya vioo ndivyo vilivyonichanganya kabisa, hakukuwa na mfanyakazi wa ndani yeyote. Nikiwa bado nashangaa shangaa pale sebuleni, macho yangu yalikutana moja kwa moja na fremu kubwa ukutani.
"..Nyemo..? Huyu si kaka yako Jerry akiwa na mkewe siku ya ndoa..?"
Nyemo hakuwa na cha kunijibu zaidi ya kubaki na kigugumizi akinitolea macho na tabasamu kwa mbali.
"...Nyemo..? Hebu nionyeshe msalani wapi nikajisaidie, nimebanwa na haja ndogo..."
Alinielekeza nikaingia japo lengo langu halikuwa kwenda kujisaidia, nilipofika msalani tu! Nikaanza kumuita nyemo kwa sauti ya juu
"..Nyemooo..!! Nyemooo...
Nilimwita Nyemo kwa makusudi na kwa sauti ya juu kana kwamba kuna tukio la ghafla ili aje chooni nilipo. Kweli, alikuja akihema akagonga mlango niliokuwepo. Kwa aibu ya mbali niliufungua kiupande nikitokeza kichwa kidogo.
"..samahani kwa kukusumbua Nyemo.."
"..usihofu bila samahani.."
"..Kwenye mkoba wangu niliokuja nao hapo sebuleni kuna 'Pedi' naomba ukaniletee.."
Nyemo alionesha kusita, kisha akaenda kuniletea. Kiukweli nilikuwa hata 'bleed' sijaanza ila ule ulikuwa ni mtego tu kwa Nyemo aingie kwenye kumi na nane zangu...
"..Chukua hizi hapa.."
Sikutaka kuzichukuwa kwa muda ule zaidi ya kumshika Nyemo tisheti yake na kumvuta mpaka akajikuta tupo naye msalani tena huku akihema juu juu!
"...Nyemo usiniogope pliiz.."
"...mh hapana, Tina chukuwa 'pedi' zako, niache niende.."
Muda wote Nyemo alikuwa akiangalia kwa pembeni huku akitaka kundoka..
"...Nyemo mie simtaki kaka yako kwanza ana mke na kashaoa..."
"..Tina hapana, hapana haiwezekani uwe na mimi.."
Nyemo alichoropoka na kunikiambia pale msalani..
"..hanijui kama naitwa Tina zoa zoa eh, sasa ngoja nimbadilishie gia!"
Niliimfuata mpaka sebuleni alipokuwa tena nikiwa kama nilivyozaliwa, mikononi nikizishikilia zile 'pedi'... Nilipofika tu sebuleni nilimkuta akiongea na simu, sikuingiwa hata na woga kwani akili yangu yote niliielekezea ni jinsi gani nitamkabili handsome boy huyu...
"..Tina nilikuwa naongea na bro Jerry.."
"..enh anasemaje..?"
"..mie nilijua labda mnamahusiano yeyote..?"
"..si rafiki tu.."
"..kama ni rafiki basi kaa ukijua bro Jerry alikuwa Temeke kwa wakwe na siyo kwa shangazi na alikwenda kusuluhishwa na mke wake.."
"..enh kwa hiyo..? Lakini mie nakutaka wewe Nyemo.."
"...embu vaa vinguo vyako na tena potea haraka kwani bro Jerry yupo njiani anakuja na mke wake wasije wakakukuta hapa..."
"...yaani kwa kifupi tu leo hapa Nyemo sitoki mpaka unipe ninachotaka.."
"..enh enh nini unachotaka kwangu we malaya..?"
"...hata unitukane vipi Nyemo mie nataka ni sex tu na wewe nitaridhika.."
Mwili wangu ulikuwa tayari wa moto huku nikijihisi kuwa laini kila sehemu ya mwili wangu...
Nilimwangukia Nyemo mpaka miguuni mwake nikishikwa na kwikwi si ya kiu ya maji wala ya kulia, bali ilikuwa ni kwikwi ya hamu ya kufanya mapenzi.
"..Nyemo pliz uchukuwe mwili wangu.. pliiz nakuomba uniridhishe.."
Nilimbembeleza mpaka nikamshuhudia Nyemo naye akilegeza macho, akanibusu shavuni kupitia kitovuni mwangu. Akaanza kuzilamba chuchu zangu na kunifanya nisisimke mwili wote.
Nyemo alikuwa mtundu hasa wa kumlegeza mwanamke kwani pamoja na u 'play gal' wangu Tina zoa zoa miye nijikuta sina ujanja kwake.
Akiwa ndio kwanza anachanganya ufundi wake kuanzia maeneo ya shingoni mwangu ambapo ni hatari sana kwangu, mara tukasikia mlio wa honi ya gari kwa nje....
Pale pale Nyemo akashtuka na kuvaa suruali na shati lake haraka haraka huku akiniongelesha..
"..Bro Jerry huyoo.. Atakuwa mwenyewe tu..! Tena anakuja na shemeji dah..!! Dah..!!"
"..sasa tutafanya...
Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa Nyemo akinibeba mpaka uani yalipopaki magari yao. Akafungua nyuma ya gari (boneti) na kunitupia mule ndani..
"..Nyemo na nguo zangu je..?"
Aliondoka haraka na kwenda kunichukulia kisha akazitupia naku 'lock' mule nyuma ndani ya gari(boneti).
"..nitakuja kukutoa baadaye.." Aliongea Nyemo huku akiniacha nikipumua kwa shida kule kwenye buti la gari...

***

:: Nini kitaendelea? Kumbuka utamu ndiyo kwanza unaanza kunogaa Na tayari tina kashafankiwa kumtega nyemo ambae ni mdogo wake na jerry je nyemo atarudi kwa tina kumalizia alichokianzisha au atampotezea na vipi kuhusu tina kule kwenye boneti la gari atatoka vipi?