NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAISI..05
Mtunzi: JONS JONAS
WhstsApp:0613 321 991
Ilipoishia…
Hatua kama sita nilikuwa nikiendelea kutembea
pembeni ya majokofu.
Jamila alikuwa kwa nyuma yangu akinisimamia.
Ghafla tumbo langu likacheza. Likatikisika!
Mwili ukawa kama unataka kuruka ruka haswa
maeneo ya tumboni. Nikasimama nakulishika tumbo lipoe.
Nikautoa mkono mmoja na kufungua jokofu. Hewa
kali ikatoka. Mwili wa mwanaume aliyekuwa ameharibika vibaya uso wake ndio
nikatazamana nao.
Mwili wake wote ulikuwa umepondeka
pondeka.Halmashauri ya kichwa changu ikafanya kazi kwa haraka zaidi na kutambua
kuwa ilikuwa ni maiti iliopata ajali. Tena ajali mbaya sana.
“Jamila siwezi kufanya mapenzi na maiti hii? Ni
bora nife tu mara ya pili. Sitaki tena uchawi kama ni hivi”
Songa nayo…
“Adela? Unajitafutia makubwa! Hutaki nini?”
“Jamila hapana maiti kama hii siwezi hata pa
kuianzia, hebu ona nitawezaje kuilamba mwili mzima wakati manyama nyama yake
yalio na damu yanaonekana yakigandamana na barafu.
Ona sehemu zake za siri nazo zilivyojigawa kwa
kupondeka. Hapana mimi siwezi wacha nisiwe mchawi tu!”
“Adela hivi ujue maneno hayo akiyasikia baba
unaweza kupewa adhabu mbaya. Salha naye alikuwa hivi hivi mbishi. Alikuwa
anachagua maiti za kufanya nazo mapenzi kinyume na taratibu za uchawi wetu.
Alichofanyiwa na baba, alitolewa macho yake yote
yakawa kitoweo.Tukayachemsha na kuyala kama supu halafu akamrudisha Salha
duniani na kumtupa usiku usiku.
Salha akakamatwa na wananchi akiwa na vifaa vya
uchawi mikononi mwake. Wakamuua kwa kumchoma moto raia wenye hasira kali.
Haya ndio unataka na wewe nikurudishe kwa baba
nikamwambie umeshindwa?”
“Hapana Jamila usifanye hivyo, haya basi ngoja
nianze!”
Nilijikuta nikivuta pumzi kwa hasira japo ni
sehemu yangu ya uchawi.
Nikaichukuwa ile maiti kutoka katika jokofu lake
na kuivuta mpaka chini kabisa kisha nikailaza.
Maiti ilikuwa na ubaridi sana kutokana na
kuhifadhiwa katika jokofu kwa muda. Ilikuwa tayari imeganda vilivyo.
“Mlambe! Mlambe mwili wote na usisahau kumnyonya
sehemu zake za siri na ukimaliza ufanye naye mapenzi kama wafanyavyo watu wa
duniani”
Yale maneno yalijirudia tena katika masikio
yangu. Haikuwa sauti ya Sophy kama mwanzo ilivyokuwa bali ilikuwa ni sauti ya
Jamila.
Nikatazama eneo alipokuwa Jamila amesimama.
Sikuweza kumuona tena.
Nikayazungusha tena macho yangu vizuri mpaka
eneo alipokuwa ameketi yule mlinzi napo sikuweza kumuona hata kile kiti
alichokuwa amekalia sikukiona tena.
Sasa macho yangu yakabaki yakitazamana na maiti
iliyokuwa mbele yangu. Maiti ya mwanaume aliyekuwa amepata ajali mbaya sana na
kuharibikia karibu mwili mzima.
Damu zake zilionesha kugandamana na barafu kali.
Barafu la kwenye majokofu ya kuhifadhia maiti.
Taratibu nikaanza kuipapasa ile maiti pasipo
kuogopa wingi wa barafu na baridi lake.
Nikaanza kuilamba kuanzia usoni.
Nikaudumbukiza mdomo wangu kwake. Ubaridi
ukaanza kuniingia vilivyo kupitia mdomoni mwangu. Kadiri nilivyokuwa
nikiinyonya ile maiti ndivyo na ile maiti ilivyokuwa ikiyeyuka.
Damu damu zilizokuwa zimegandia zikaanza
kujitokeza baada ya kutengana na ubaridi wa barafu. Sikutaka kamwe kupoteza
muda nikahamia kifuani mwa ile maiti. Nikaanza kuinyonya kitovu chake huku
nikishuka mpaka eneo la sehemu zake za siri.
Nikazinyonya vivyo hivyo japokuwa zilikuwa
hazifai kwa kuharibika. Harufu kali kama ile ya maiti nilioifukia kaburini ndio
nikakutana nayo katika sehemu zake za siri.
Sikujali kitu zaidi ya kumalizia kuinyonya.
Nikaikumbatia kwa nguvu pasipo kuogopa baridi lake. Nikaikalia viungo vyake vya
siri na kuanza kuvikatikia.
“Ohhh tamu sana! Tamuu!”
Nilijikuta nikiufurahia ubaridi uliokuwa
ukinitekenya katika sehemu zangu za siri.
Ubaridi uliojikusanya katika viungo vya siri vya
maiti vilivyokuwa vimejikusanya vilivyo katika sehemu zangu za siri.
Nilijiona utamu ukinizidia tofauti na ule wa
maiti ile ya makaburini. Nikazidisha kuikatikia mithili ya wacheza shoo wa
muziki wa dansi wakiwa jukwaani.
“Unafanyaje hapo? Naongea na wewe! Unafanyaje
hapo?”
Ghafla sauti ya kiume kwa mbali nikaisikia
ikiniongelesha. Nikawa natoa macho yangu kuangaza huku nikiendelea kuikatikia
ile maiti lakini kwa sasa nilikuwa nimepunguza kasi ya kuikumbatia kwa
nguvu.Nikashusha pumzi. Kimya!
Macho yangu ya kichawi yakaangaza pande zote ya
chumba cha kuhifadhia maiti lakini sikuambulia kumuona mtu.
“Inamaana husikiii enhh?”
Mwanga mkali wa tochi ukanimulika usoni mwangu.
Nikashangaa nikipigwa teke katika mbavu zangu. Nikaiachia ile maiti nakusimama.
Wima!
Wanaume takribani watatu wakawa mbele ya macho
yangu.
“Nyie wanga mtaacha lini tabia zenu? Enhh haya
hapa unafanyanje na hii maiti?”
Bado nilikuwa katika hali ya kustaajabu.Taharuki
kuu!
Moyo ukaniambia kuwa nimekamatwa na watu wa
duniani lakini akili ikapingana na moyo wangu kata kata. Kamwe akili yangu
haikutaka kuamini kuwa ni watu wa duniani.
“Inuka? Haraka inuka mpumbavu mkubwa wewe!!
Baraka embu chukueni hiyo maiti irudishieni kwenye jokofu lake hapo juu?”
Maswali mengi yakaanza kunitawala katika
halmashauri ya kichwa changu. Niliwaza sana imekuwaje nimekamatwa na watu wa
duniani.
“Huenda nilivyokataa kwa mara ya kwanza Jamila
kaenda kumwambia baba yake?”
Nilijikuta nausemea moyo juu ya kukamatwa
kwangu. Nikaanza kupigwa mateke kichwani na mgongoni.
Nikapigwa sana huku nikitambaa kwa uchungu.
Maumivu halisi nikaanza kuyasikia. Maumivu ya
kidunia. Maumivu ya kupigwa kwa mateke.
Nilijitahidi kujiburuza mpaka nikafika karibu na
kona. Nikainuka haraka na kushikilia ukuta kwenye pembe nikidhania huenda
nitayeyuka na kurudi kwa wachawi wenzangu. Haikuwa hivyo! Sikuweza kuyeyuka.
Nilijikuta nikiumia sana moyo nikiendelea
kuambulia kipigo kwa wanaume watatu. Kipigo cha mateke kilinizidia. Nilihama
lile eneo la ukutani na kuendelea kutambaa nisijue naelekea wapi.
“Jamila njoo niokoe? Jamila? Sophy uko wapi leo
nimeshikwa mimi? Nipeni nguvu za kichawi niepukane na kifo cha duniani.
Binadamu hawatupendi sisi wachawi Sophy. Niokoeni jamani nafwaa!”
Bado nilikuwa na nena kwa lugha kimoyo moyo.
Maneno ya uchungu yakatawala kichwa changu.
Nilikuwa nikiongea kimya kimya. Hatimaye mlango
ukafunguliwa mbele yangu. Mwanga mkali wa kuashiria ni duniani na tena
kumekucha ukawa umeangaza.
Akili ya kidunia ikaniingia mara mbili yake.
Wananchi wengi wakiongozwa na manesi wakawa nje ya mochwari wakinishangaa.
Nilijiangalia vizuri mwili wangu. Mwili uliokuwa
uchi wa mnyama. Mwili uliokuwa tofauti kidogo na binadamu wa kawaida kwa kukosa
matiti kifuani.
“Wachawi kama hawa dawa yao ni kuchomwa moto
tu!”
Sauti ya kiume ilipayuka kwa ukali. Watu wote
wakapiga makelele kushiria kukubaliana na kauli alioitoa yule mwanaume. Kauli
ya mimi kuchomwa moto.
“Dokta, huyu tumpeleke kule tunapochomaga viungo
vya watu waliopata ajali. Kule upande wa pili”
“Ni sawa haina tatizo. Embu nyie vijana
hakikisheni huyu anapelekwa mpaka eneo lile tunapochomea viungo vya wagonjwa
waliopata ajali sehemu za miguu na mikono.
Tutamjumuisha kama yule mchawi tuliomchoma juzi.
Hawa ndio dawa yao wataacha wenyewe”
Waliniburuta kwa kunipiga Adela mimi. Aibu kubwa
iliendelea kunitawala lakini sikulijali.
Sikuuthamini mwili wangu kuanzia juu mpaka
sehemu za siri. Walinipiga sana njia nzima nikitambaa kwa maumivu.
Nikafikishwa sehemu ambayo nilishuhudia harufu
kali ya damu ikinijia katika pua zangu.
Moshi mweusi sana ulikuwa ukitoka katika tanuru
la nyumba ambayo ilikuwa mbele ya macho yangu.
“Tumuingize ndani. Huyu siyo wa kumbeba ni
mateke mpaka ndani kabisa”
Waliendelea kunipiga huku nikijiburuta kwa
kutambaa mpaka ndani. Mwili wangu ukawa hautamaniki kwa kipigo.
Nilipoingizwa tu ndani nikatazamana na karai
kubwa lililokuwa limewekwa viungo vya watu waliofanyia operesheni. Kulikuwa na
viungo vya binadamu vya aina nyingi kama, masikio, miguu,mikono,vidole.
Vilikuwa tayari kwa kutupwa kwenye moto.
Wakanisogeza mpaka karibu na eneo la kuchomea
viungo vya mwili. Wakachukua panga na kuanza kutaka kunikata kata kuanzia
mikononi.
*******************************
***** Je huo ndio mwisho wa Adela? Vipi Jamila
yuko wapi? Nini hatma ya adela katika maisha yake ya kichawi?
**** Simulizi inaendelea kunoga, tegemea utamu
zaidi kila itakapokuwa inaendelea. Gonga LIKE zikifika 200 naachia nyingine
sasa hivi.
**** ANGALIZO ****
Hairuhisiwi kusoma kwa mtu ambaye anajijua ni
muoga. Ukijihisi kila unaposoma mapigo ya moyo yanakwenda kasi, tafadhali acha.
Pia si vizuri ukawa unasoma katika mazingira
ambayo upo peke yako ama unaishi peke yako katika nyumba hasa nyakati za usiku.
Na siyo vizuri kusoma ukiwa maeneo ya
beach,chini ya miti mikubwa ama karibu na makaburi, hospitali zenye vyumba vya
kuhifadhia maiti ama milima ni hatari sana.
0 Comments