NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAISI..04
Mtunzi: JONS JONAS
WhstsApp:0613 321 991
Ilipoishia…
“Sophhhhhyyyyy??”
Uzalendo ulinishinda kabisa nikabaki nikitoa
sauti ya ukali na ya juu kabisa kumuita Sophy.
Sophy yule niliyekuja naye huenda nilikosea
masharti au nguvu za kichawi zimeniishia.
Lakini sikuambulia msaada wowote zaidi ya ile
sauti nilioitoa kumuita Sophy ikinirudia mwenyewe mithili ya mwangi wa sauti
katika mapango marefu na yenye giza.
Songa nayo…
Mara nikasikia tena zile sauti zikinyamaza.
Kimya! Pakawa tuli kwa muda kidogo.
Kimya kikaendelea kutawala eneo lote
lililonizunguka. Muda wote mikono yangu ilibaki imeishikilia ile maiti kifua
chake.
Lile jicho moja la maiti lililojifungua
likaendelea kunitazama. Nikalikazia na mimi tukitazamana.
“Endelea sasa!, mlambe? Mtomase mwili wote na
kisha tumia ulimi wako kumnyonya sehemu zake za siri!”
Ilikuwa ni sauti ya Sophy ikipenya kwa mbali
katika ngome ya masikio yangu.
Ilikuwa ikinong’ona kwa kunibembeleza.
Nikajaribu kuyazungusha macho yangu kwa
kuangalia alipo.
Huku na kule sikuweza kufanikiwa kumuona zaidi
ya kuhisi kama mkia ukinigusa mgongoni mwangu.
Kadiri ule mkia ulivyokuwa ukinigusa eneo la
mgongoni mwangu ndipo na nguvu za kichawi zilivyokuwa zikinirudia.
Nikajihisi kusisimka kuanzia kichwani, kiunoni
mpaka miguuni. Nikapata ujasiri wa ghafla.
Nikavuta pumzi kwa kuhema jujuu huku nikiinamia
ile maiti kwa kuitazama. Taratibu nikaendelea na zoezi lililokuwa limenileta.
Zoezi la kuhakikisha nafanya mapenzi na maiti
iliokuwa mbele ya macho yangu. Maiti ya mwanaume aliokuwa amevalishwa suti
maridadi ambaye sasa alikuwa mikononi mwangu.
Takribani dakika ishirini nilikuwa bado
nikiilamba maiti vilivyo. Zile nguvu za kichawi ziliniongezeka mara mbili yake.
Nikaishikilia ile maiti na kuiinua mpaka
ikasimama mithili ya mwanajeshi akiwa mstari tayari kwa kupiga kwata. Nikaivua
nguo yake ya ndani na kuirusha pembeni. Ikasalimiana na tope!
Uso wangu sasa ukakutana na sehemu zake za siri.
Sehemu ambazo zilikuwa zimesinyaa sasa zikawa ndani ya mdomo wangu nikizinyonya
na kulazimisha zisimame ingawa ilikuwa tayari ni maiti ambayo isingeweza
kufanya chochote.
Kitu ambacho wengi hawajui, Wachawi huwa hawaoni
uchafu wala kinyaa kwa kitu chochote kibaya ama cha kutia kichefu chefu kwa
wanachofanya.
Kwa kuwa tayari nilikuwa mchawi aliyekamilika.
Aliyekamilika kwa kutembea uchi pasipokuwa na nguo yeyote usiku na kufanya
lolote Nikiongozwa na ungo, mkia pamoja na mkia vikiwa ni silaha yangu kubwa
kwa kujikinga na watu duniani wasiweze kuniona wala kunikamata.
Nilipomaliza kumlamba na kumnyonya nikachukuwa
kiungo chake kimojawapo kati ya viungo vya sehemu zake za siri nakukalia kwa
juu.
Nikaanza kukatikia haraka haraka. Kwa jinsi
nilivyokuwa nikiendelea kukatikia na utamu nao ndivyo ulivyokuwa ukinizidia
kama binadamu wa kawaida.
“Ohhh asante! Asante!”
Niliusemea moyo. Nilijikuta nafurahia kufanya
mapenzi na maiti kwa mara ya kwanza toka niwe mchawi kamili nikinena kwa lugha
ya kichawi.
“Inatosha sasa! Inatosha Adela urudi nyumbani
sasa?”
Ile sauti ya Sophy ikanirudia tena katika himaya
hii ya makaburi.
Sikuweza kumuona zaidi ya kuhisi sauti
inapotokea tu.
”Nitarudi vipi sasa Sophy?”
Nilimuuliza hivyo hivyo pasipo kumuona.
“Inuka hapo ulipo kisha nenda kona ya hilo
kaburi halafu tutakutana nyumbani. Sawa Adela?”
“Sawa. Na maiti hii niirudishie? Na kuhusu
kufunika na udongo wake je?”
“Adela? Wewe zoezi lako limekwisha nenda kona
hapo. Kuna misukule yetu ambayo tunaichukua kila siku kwa ajili ya kufanya kazi
kama hizi za kufukia makaburi yaliochimbwa kwa nguvu zetu za kichawi.
Watairudishia kama ilvyokuwa”
Ilinibidi kuitii ile sauti niliyohisi huenda ni
ya Sophy. Nikachukuwa kibuyu na mkia wangu kisha nikajongea mpaka kona ya
kaburi na kusubiri kitakachotokea.
Haikuchukua muda nikajikuta nimeyeyuka.
*******
Kiza kinene kiliendelea kutawala mbele ya macho
yangu. Hakukuwa na mbalamwezi wala nyota hata moja.
Vicheko vingi vya kichawi ndivyo vilirindima
zaidi. Nilijikuta na mimi nikiwa katika eneo lile la awali. Eneo ambalo
lilikuwa ni himaya kuu ya wachawi.
Pale ambapo nilikaribishwa kwa nguvu za kichawi
mara ya kwanza na kujiunga rasmi na uchawi. Nami nikatoa kicheko cha kichawi
nikiwaangalia.
“Adela kwanza hongera kwa kuweza kufanikisha
zoezi la kwanza la kulala na maiti”
Aliongea mzee mmoja. Yule mzee alioyachukuwa
maziwa yangu mawili na kuyakata kisha akayatoa na kuwapa mabinti wagawane kwa
kuyatafuna.
Kwa muda huu alikuwa akizungukwa na wachawi
wenzangu tena wote kwa pamoja kila mmoja akimtazama na kucheka naye.
“Adela? Una siku kumi tu ambazo unatakiwa uwe
umeshamaliza kulala na kufanya mapenzi na maiti ishirini. Hivyo kwa siku
unatakiwa uwe unafanya mapenzi na maiti mbili.
Kama leo ulikuwa makaburini utatakiwa uende pia
na mochwari ukafanye mapenzi na maiti nyingine mpaka idadi ya maiti ifike
ishirini. Sawa?”
Nilijikuta mwili ukiendelea kunisisimka kwa
maneno niliokuwa nikiyasikia kutoka kwa yule mzee.
Baridi si baridi na wala joto si joto
likajipenyeza ndani ya moyo wangu. Sikuwa na moyo wa hasira tena zaidi ya kuwa
na moyo wa furaha muda wote hasa nikiambiwa vitu vihusivyo uchawi.
Shauku kubwa ikabaki ni jinsi gani nitalala na
maiti zile za mochwari. Akili yangu kuu nikaielekeza kwa jinsi maiti
zinavyohifadhiwa katika majokofu yake huko mochwari zikiwa na ubaridi.
Nikalifikiria sana baridi la kwenye majokofu
kisha akili ikanipeleka hadi jinsi nitakavyofanya nayo mapenzi na ule ubaridi
wake.
“Jamila”
Aliita yule mzee. Alikuwa akimuita binti yake.
Binti yule aliotumwa panga mara ya mwisho na mzee wake huyu. Akasogea mpaka
eneo la karibu na baba yake.
“Abee baba!”
“Sasa wewe ndio utakuwa na Adela katika
kumpeleka huko mochwari. Hakikisha amefanya kama tunavyofanyaga tukiwa na maiti
jinsia tofauti. Sawa mwanangu Jamila?”
“Nimekulekewa baba”
Jamila alipomjibu tu baba yake. Akanifuata mpaka
karibu yangu. Rundo la wachawi wenzangu walibaki wakinishangaa.
“Adela twende?”
Nikawa namfuata kwa nyuma nisijue tutapoteaje
mpaka kufika huko mochwari.
Kwa mwendo kidogo tukiwa katika himaya zetu za
kichawi. Jamila akainama chini kisha akasimama akiwa ameshikilia mkono wa mtoto
mchanga. Mkono uliokatwa na kubakiwa na sehemu ndogo sana.
Jamila akang’ata kipande cha nyama kibichi
kabisa kisha akanipa.
“Na wewe kula Adela?”
“Hapana mimi nimeshashiba Jamila!”
“Adela, hii ndio dawa yetu ya kutukinga tuendapo
huko mochwari. Na nyama hii ya mkono wa mtoto mchanga tuliipata huko huko
mochwari. Ni tamu sana shika kula!”
Jamila alinilazimisha kuila ile nyama.
Mwanzoni nilimkatalia lakini kwa kuwa ilikuwa
ndio kama dawa ya kwenda huko mochwari haikuwa na budi kuila.
Niliitafuna kidogo kidogo mpaka nikajikuta utamu
ukinikolea na kuimalizia yote nikijilamba na kuutafuna mfupa wake uliokuwa
mlaini mithili ya nyama za kuku wa kizungu.
Baada ya kumalizia kuila tu ile nyama nilijikuta
tayari nipo ndani ya chumba cha mochwari.
Nilikuwepo sambamba na Jamila pembeni yangu.
“Adela umemuona huyo hapo mlinzi amesinzia?”
“Ndio nimemuona kwani hawezi kutukamata?”
“Hapana Adela, yaani ile nyama ya mtoto
tuliokula ndio dawa ya kila kitu. Ina nguvu sana kuliko hata kibuyu na mkia.
Nyama hii ni maalum kwa huku mochwari tu.
Yule mlinzi hata kama akishtuka hawezi kutuona
kamwe.”
Jamila alinijaza moyo wa kishujaa zaidi. Mwili
wangu ukakubaliana na moyo, moyo ukaridhika na kuiongoza akili. Akili ya kuanza
kufungua jokofu moja baada ya nyingine.
“Sasa Jamila nitajuaje kama ni maiti ya leo
leo?”
“Ile nyama ulioitafuna ndio itakuwa ikikuelekeza
kupitia tumboni mwako. Tutapita mstari huu. Wa majokofu.
Tumbo likicheza ujue hapo hapo utatakiwa kufungua
na kuitoa maiti mpaka chini kisha utaichezea kwa kuinyonya na kuilamba halafu
utafanya nayo mapenzi”
Hatua kama sita nilikuwa nikiendelea kutembea
pembeni ya majokofu. Jamila alikuwa kwa nyuma yangu akinisimamia.
Ghafla tumbo langu likacheza. Likatikisika!
Mwili ukawa kama unataka kuruka ruka hasa maeneo
ya tumboni. Nikasimama na kulishika tumbo lipoe.
Nikautoa mkono mmoja na kufungua jokofu. Hewa
kali ikatoka.
Mwili wa mwanaume aliyekuwa ameharibika vibaya
uso wake ndio nikatazamana nao. Mwili wake wote ulikuwa umepondeka pondeka.
Halmashauri ya kichwa changu ikafanya kazi kwa
haraka zaidi na kutambua kuwa ilikuwa ni maiti iliyopata ajali. Tena ajali
mbaya sana.
“Jamila siwezi kufanya mapenzi na maiti hii? Ni
bora nife tu mara ya pili. Sitaki tena uchawi kama ni hivi”
****************
*** Je Adela atafanikiwa kufanya mapenzi na
maiti hiyo. Na ndio mwisho wa uchawi wake ama?? Nini hatma yake?
**** LIKE zikifika 200 tu naachia muendelezo...
**** ANGALIZO ****
Hairuhisiwi kusoma kwa mtu ambaye anajijua ni
muoga. Ukijihisi kila unaposoma mapigo ya moyo yanakwenda kasi, tafadhali acha.
Pia si vizuri ukawa unasoma katika mazingira
ambayo upo peke yako ama unaishi peke yako katika nyumba hasa nyakati za usiku.
Na siyo vizuri kusoma ukiwa maeneo ya beach,
chini ya miti mikubwa ama karibu na makaburi, hospitali zenye vyumba vya
kuhifadhia maiti ama milima ni hatari sana.
0 Comments