NILILALA
NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS SEHEMU YA PILI(2)
Mtunzi: JONS JONAS
Simu: +255613321991
Ilipoishia..
“Unatakiwa ulale na maiti ishirini huku kila
moja ukiivua na kuichezea viungo vyake vya siri ikiwa ni pamoja na kuzinyonya,
kuzilamba masikioni na midomoni kama wafanyavyo wapenzi wanaopendana huko
duniani, sawa?”
“Hapana, hilo siwezi, siwezi nibadilishie
adhabu”
“Mwanangu Adela hiyo siyo adhabu hiyo ni njia ya
wewe kurudi katika mazingira ya kawaida ili usiwe mfu tena. Adela umenielewa
mwanangu?”
Songa nayo…
“Hapana mama bado sijakuelewa kabisa!”
“Sasa muda wa kubembeleza umeshapita, cha
kufanya wewe subiri muda ukifika utaona kitakachokutokea na kama maagizo tayari
nimeshakupatia, tumeelewana Adela?”
*******
Milio ya sauti za ndege wa porini kama bundi
ndio ilihamsha zaidi hisia za mwili wangu kupitia masikioni.
Woga wa ajabu uliendelea kunitanda katika
halmashauri ya kichwa changu. Macho yangu yalizidi kustaajabu mazingira
niliopo.
Hakukuwa hata na mtu aliyeniongelesha zaidi ya
kila mmoja kunitazama na kisha kuendelea na shughuli zake.
Ninaweza kusema kuwa wengine hawakuwa hata na
sehemu za siri japokuwa kila mmoja alikuwa akipita uchi.
Yale maneno ambayo nilikuwa nikiyasikia kwa watu
kuwa kuna uchawi. Kuwa wachawi huwa wana sheria zao na tamaduni zao kamwe
nilikuwa siyaamini lakini leo hii nayatazama kwa macho yangu mwenyewe tena
nikiwa kama mchawi mchanga.
Mchanga kwa kutofundishwa bado uchawi hasaa!
Niliye katika mazoezi ya kulazimishwa kuujua na kuufanya uchawi kama sehemu ya
maisha yangu.
Hatua mbili tatu nilijikuta nikiinuka na kuanza
kuzunguka zunguka mwenyewe. Nikajiwekea ujasiri wa kiume katika mwili wangu.
Ujasiri wa kupambana na chochote mbele yangu kwa
kutumia nguvu zangu. Baada ya hatua chache nikitembea nikasikia minong’ono
ikitokea upande wa pembeni yangu.
Haraka haraka nikageuza macho yangu lakini
sikushuhudia kitu chochote. Nikatoa sonyo kali lakini nikastaajabu masonyo
zaidi ya kumi yakinirudia katika masikio yangu.
“Alaaaah!!”
Nikastaajabu!. Nikiwa bado katika hali ya
kustaajabu mazingira na sauti zilipotokea mara macho yangu yakakutana tena na
rundo la wasichana wadogo wadogo wakiwa wamezunguka wakionekana kwa mbali kama
wakicheza ngoma.
Taaratibu niliwasogelea mpaka katika eneo lile
nami nikajiweka mstari mmoja nao kwa shauku ya kutaka kujua kitu gani
walichokizunguka wakicheza.
“ooohhhhh!! Ohhh!!”
Mapigo yangu ya moyo yalianza kunibadilika kwa
kile nilichokuwa nikikishuhudia mbele yangu.
Walikuwa ni wazee wawili wakiwa uchi wa mnyama
wakiuchezea mwili wa mtoto mdogo alioonekana kama ni maiti huku wakiing’ata
ng’ata na kisha kutafuna nyama zake na kuzitapika papo hapo na midomoni mwao
wakibakiwa na damu damu.
Woga ulinizidia, ule ujasiri wa kiume
niliojijaza kwa muda mfupi ulinitoka ghafla na kuingiwa na huruma ya kike.
Huruma kama ya mwanamke aliyetoka kujifungua.
Nikatamani sana kuingilia kati kwenda kuwazuia
lakini nikaogopa huenda ningefanyiwa kitu kibaya kwa kuharibu mila zao hivyo
nikabaki nikiwaangalia machozi ya uchungu yakiendelea kunidondoka kwa huruma.
Niliendelea kupatwa na hasira kali hasa kwa
jinsi mabinti walivyokuwa wakifurahia pembeni kwa kupiga makofi.
“Adela? Adela njoo hapa kati?”
Mmoja kati ya wale wazee aliniita jina langu la
Adela.
Sikutaka kuamini kama anayeitwa ni Adela mimi.
Niliyageuza macho yangu kuwaangalia wale mabinti
huenda mmojawapo anaitwa Adela.
Cha kustaajabu kila mmoja alikuwa akinitolea
macho mimi kana kwamba anayeitwa ni mimi.
Nilijihisi mwili kunitetemeka sambamba na mkojo
kunichuruzika huku nikirudi nyuma nyuma nikihema juju.
Kwa kuwa nilikuwa eneo kama hewani sikuweza
kujua wapi pa kutokea na wapi pa kuingilia hivyo nilibaki nikirudi nyuma nyuma
nisijue naelekea wapi.
“Sitaki niacheni jamani, niacheniii?”
Nilijitahidi kutoa sauti lakini haikusaidia
kuwanyamazisha wale wazee kwani ndio kwanza waliendelea kunisogelea kwa ukaribu
huku lile rundo la mabinti wakiwasindikiza kwa nyuma yao.
Hatua chache nyuma nilishangaa kama nimejikwaa,
nilijikuta nikidondoika mpaka chini na kulala kifudifudi kisha viungo vya
binadamu vilidondoka kwa kunizunguka.
Vipande vipande kuanzia mikono, miguu na viungo
vya sehemu za siri za wanaume ambavyo vilikuwa vikitoa harufu kali sana.
Haraka haraka nilivuta kiungo kimojawapo na
kutaka kuwarushia wale wazee waliokuwa wakinifuata mbele yangu.
“Weee!! Wee!! Weeee!! Thubuutuuu!!?
Mpumbavu kabisa wewe!. Unajua thamani yake hivyo
vitu ulivyovishika?”
Nilibaki nimeyakodoa macho yangu kwa kustaajabu
maneno ya mzee aliokuwa akiniongelesha.
Nilijihisi kutetemeka zaidi mwili wangu. Wale
wazee wakainama hadi chini nilipokuwepo na kisha wakaanza kuniingiza vidole
katika sehemu zangu za siri huku yule mzee mmoja akininyonya papi zangu
akinimwagia damu nyingi ndani ya mdomo wangu.
Damu damu ambazo bado zilikuwa zimebaki kwenye
mdomo wa yule mzee zote kwa kula nyama za yule mtoto zote zikahamia mdomoni
kwangu.
Aliufanya mdomo wangu atakavyo huku mzee
mwingine na yeye akichezea sehemu zangu za siri sambamba na maziwa yangu
atakavyo.
Niliumia sana moyo wangu. Nilipingana na akili
yangu chafu iliyoshinikizwa na nguvu za kichawi kuingia kaburi la mama yangu
mpaka kufika huku. nilibaki nalia kwa vikwifukwifu.
“Jamila?”
Yule mzee aliokuwa akinichezea sehemu zangu za
siri aliita kwa sauti ya juu akiwaangalia wale mabinti.
Hapo hapo halmashauri yangu ya kichwa ikafanya
kazi haraka na kugundua kuwa kumbe mmojawapo kati ya wale mabinti anaitwa
jamila. Punde huyo jamila alijitokeza.
”Abee baba!”
“Nenda kule kwa mama yako kanitafutie lile panga
langu”
Niliposkia tu panga nikajihisi mapigo ya moyo
kukosa ushirikiano. Nikajua hata kama mfu nauliwa tena sasa sijui ndio nitakuwa
mfu wa kweli ama mfu wa pili baada ya kufa mara mbili.
Mwili wangu ukawa hauwezi kunyanyuka wala
kufurukuta zaidi ya kuukabidhi kwa wale wazee waufanye watakavyo.
Wakiwa bado wanamsubiri Jamila.Yule mzee
aliokuwa akininyonya mdomo wangu akaendelea tena kuniyonya mpaka mdomo wake
ukabadilika rangi na kuwa nyekundu si nyekundu na hata bluu si bluu.
“Hili hapa baba!”
Sauti ya Jamila nikaisikia kwa mbali kama
ikikabdihi hilo panga aliokuwa ametumwa.
Macho yangu yakawa hodari kwa kuangalia ni panga
kweli au la!
“Mhh!! ama kweli?”
Nilibaki nausemea moyo baada ya kuona mfupa
mkubwa sana ukiwa umekaa mithili ya panga Jamila akimkabidhi baba yake.
“Adela?”
“Abee baba!”
“Unawaona wenzako wote hao waliokuzunguka hapa?”
“Ndio nawaona”
“Embu jaribu kuwaangalia vifuani mwao?”
Nilianza kuyatoa macho yangu kwa kuaangaza wale
mabinti waliokuwa wamenizunguka.
Japokuwa walikuwa uchi wa mnyama. Niliweza
kugundua kuwa hawakuwa na maziwa vifuani mwao.
“Nimewaona tayari”
“Umegundua tofauti yao na yako ipi?”
“Hapana baba sijagundua chochote”
Ilinibidi kuwaongopea kwa makusudi ili niepukane
na kukatwa kwani nilijua wazi wanataka kunitoa maziwa yangu nifanane na hawa
mabinti.
Yule mzee alichukuwa lile panga na kuanza
kunikata nalo ziwa moja baada ya jingine.
Sikuwa na nguvu ya aina yeyote tena na wala
sikusikia maumivu zaidi ya kuhisi kama natekenywa.
Ni dhahiri kuwa lile panga lilikuwa na dawa zao
za kuweza kumpumbaza mtu anapokatwa asisikie maumivu yeyote.
Alipomaliza kunitoa maziwa yangu yote mawili
akawarushia wale mabinti wakaanza kugombania kwa kuyala bila kujali limbi la
damu zake.
Nilitamani sana kutoa sauti kwa ukali ya
kuwatukana lakini nilishindwa. Tayari nilikuwa kama nimefanyiwa dawa za
kutokutoa sauti kwa kipindi.
Nilibaki kuwa kama mtu aliyefungwa mdomo kwa
kutokuwa na uwezo wa kutoa sauti.
”Adela, sasa umekamilika mwanetu, inuka?”
Nilidhani utani kuwa nisingeweza kuinuka.
Nilishangaa nguvu za ajabu zikinirudia na kuweza
kuinuka kutoka pale chini. Maswali mengi yalibaki kichwani mwangu ikiwa ni
pamoja na kuyatoa maziwa yangu, pili sijaona damu zozote wala maumivu ya aina
yeyote na tatu nilishangaa kuishiwa nguvu zote na baada ya kukatwa nilipata
nguvu ya kuinuka.
“Sasa waweza kwenda pale ukakutane na kiongozi
wako uanze kazi leo leo,sawa Adela?”
“Sawa baba!”
Niliondoka kiunyonge nikijihisi kama aibu kubwa
imenitawala Adela mimi.
Kwa mwendo wa taratibu huku nisielewe mazingira
ya chini yapoje poje kwani hayakuwa na vumbi wala ardhi yaani yalikuwa ni kama
angani tu.
Ndani ya muda mchache nikawa tayari nimeshafika
kama nilivyoelekezwa na wale wazee walionitoa maziwa yangu na kuwapa wale
mabinti wagawane kwa kuyatafuna.
“Adela mwanangu umekuja?”
Aliongea yule mama wa kwanza kabisa. yule alioniambia
kuwa ni kiongozi wao na atanipangia kazi ya kulala na maiti ishirini.
“Ndio mama”
“Umependeza mwanangu! Hivyo ndivyo mabinti wa
kike wanavyoishi huku kwetu.
Si umeniona hata mimi sina maziwa? Yaani huku
hayana kazi maana kama mimba hatupati, watoto wanaliwa na wazee wetu hawa na
hawaruhusiwi kuishi sasa miziwa niwe nayo inafanya kazi gani?”
****************************
**** Adela sasa amekamilika kuwa mchawi halisi.
Je itakuwaje huko mbeleni katika uchawi wake, na vipi kuhusu kulala na hizo maiti
atafanikiwa zote? Nini hatma yake?
**** Simulizi ndio kwanza imeanza kunoga,
tegemea utamu zaidi kila itakapokuwa inaendelea. Kumbuka ku Gonga LIKE kwa
wingi zkifika 300 nachia nyingine.
**** ANGALIZO ****
Hairuhisiwi kusoma kwa mtu ambaye anajijua ni
muoga. Ukijihisi kila unaposoma mapigo ya moyo yanakwenda kasi, tafadhali acha.
Pia si vizuri ukawa unasoma katika mazingira ambayo upo peke yako ama unaishi
peke yako katika nyumba hasa nyakati za usiku. Na siyo vizuri kusoma ukiwa
maeneo ya beach ama karibu na milima ni hatari sana.
0 Comments