MALAYA MZOEFU..06
Mtunzi: JONS JONAS
Msimuliaji:CLIFF DAVIS
WhstsApp:0613 321 991
::
Toleo lililopita tuliishia pale ambapo aisha akiwaambia wenzie watoke na kwenda
kwenye pati baada ya kila mmoja kujiandaa na mwisho wanamfuata aisha aliekuwa
kwenye gari na mpenzi wake wakina tina wanafika na aisha anamshusha mpenzi wake
kwenye gari na tina anagundua kuwa mpenzi wa aisha kumbe ni john yule adui yake
aliemuambukiza virusi vya ukimwi na tina anaonekana kumsalimia john…unadhani
nini kilijili twende pamoja….
::“..Salama
tu, na tena bora ulivyojileta mwenyewe hapa..” John alibadilika ghafla
nakutufanya wote tuendelee kumshangaa kwani aliinama mpaka chini ya kiatu chake
akavua soksi nakuitoa ‘bastola’ kisha akaninyooshea.. “…malaya mkubwa wewe tena
uliyeniteketeza mie na ndugu zangu bila hata huruma yeyote..” Nilikuwa mdogo
ghafla huku kijasho chembamba kilichoambatana na mkojo uliokuwa tayari
unapenyeza ndani yakile kipensi changu.. “..John nisamehe..” “..tena ishia hapo
hapo malaya wewe. Unasikia Aisha wangu, huyu mwenzako ni muuaji tena yule
aliyeshindikana, amemfanyia kitu kibaya sana bro wangu ‘baba Latifah’ kwani
amemuambukiza ukimwi kwa makusudi kabisa na hivi ninavyoongea yupo hospitali
hoi kwa presha..” “…ingia? Ingia ndani ya gari kabla hata sijakufyatua sasa
hivi, wewe Aisha asanteni sana kwa kuniletea huyu mpumbavu na nilishamwambia
ama zake ama zangu na ndio sasa..” Muda wote nilikuwa bado nikitetemeka vidole
huku meno yakiumana na mwili kunisisimka hadi kuishiwa nguvu.. “..nimekwisha
leo Tina mimi..” Nilijisemea kimoyo moyo huku nikikubali kuingia ndani ya gari
kisha John akatumia mkono mmoja kuwasha gari na mkono mwingine alikuwa
ameniwekea ile bastola yake kichwani mwangu, Aisha na Lucy muda wote walikuwa
bado wameduwaa huku wakiwa hawajielewi elewi kwa kile kinachoendelea. John
aligeuza gari nakutoka spidi mpaka kusikojulikana. Giza lilitanda sana kwani
kama haikuwa saa 5 usiku basi ni saa sita kwani ukimya na uchache wa magari
tuliokuwa tunapishana nayo ndio yalikuwa yakinipa jibu sahihi. Ilituchukuwa
mwendo mrefu sana mpaka akasimamisha eneo nililokuwa silijui kisha akapaki gari
yake pembeni nakuanza kutembea kwa miguu huku tukikatiza vichochoro hata
sikuwahi kupita wala kupajua.. “…unanipeleka wapi uku jamani John..” “…we twende,
utapajua nikishatoa hiyo roho yako isiyo hata nachembe ya huruma..” Nilianza
kuhisi kichwa changu kizito tena kizito kwa kufikiri, nilikuwa na mawazo mgando
tena yale yasiyoelewa elewa nitokapo wala niendapo.. Hatimaye tukafika kwenye
jumba moja zuri lililokuwa na fensi kubwa ya ukuta iliyozungushiwa zile taa
kubwa. John hata akugonga mlango zaidi yakunivuta mpaka ndani huku mlinzi
akitutolea macho, nadhani yule mlinzi alikuwa anajua kila kitu
kinachoendelea..”..huyu hapa bro..” Moyo ulinipasuka ghafla baada ya macho
yangu kugongana ana kwa ana na baba Latifah huku kashika bomba la sindano..
pale pale John alinivua kile kipensi changu na kile ki blauzi huku nikibakiwa
mtupu kama nilivyozaliwa.. “..chagua moja We malaya..” Sauti ya ukali ilitokea
kwa baba Latifa ambapo kwa muda huu alikuwa kakunja ‘ndita’ huku ananitolea
macho ya hasira.. “..John embu mfunge kwa kumzungushia kamba mwili wote hapo
kwenye kiti.. John alipomaliza hapo alichukuwa tambala chafu kisha
akanilazimisha liingie mdomoni kwangu na alipotoa tu nilitapika sana huku
nikikohoa nakuomba japo nipatie maji lakini walinikatalia.. Baba Latifah
alichukuwa sindano tena ya kushonea viatu kisha akachukuwa na uzi wake.. “..Leo
tunakuziba hicho kidude chako nanakishona hapa hapa na ole wako ujitingishe..?”
Baba Latifah aliendelea kuongea kwa sauti ya juu nakunifanya woga uendelee
kunitanda nakuona sasa mwisho wangu wa u play gal na maisha kwa ujumla unaishia
hapa. Nilijua utani lakini ilinibidi kuanza kuamini kwani tayari John alikuwa
ameisogeza bastola yake karibu na paji langu la uso huku nimezungushiwa kamba
ya manira, nilikuwa sipewi nafasi hata ya kuzungumza kwani waliniwekea
matambala mdomoni yaliyopunguza kasi ya kuhema.. Baba Latifah alianza kwa
kunishona sehemu zangu za siri kama washonavyo mafundi viatu ama cherehani,
hakukuwa hata nasindano ya ganzi zaidi yakupata maumivu ambayo sikuwahi kupata
maishani mwangu. Damu nyingi zilinimwagika, nguvu ziliniisha na macho yalikosa
nguvu kabisa. hatimaye Baba Latifah akafanikiwa kunishona sehemu yangu ya siri
yote huku akiziba mpaka eneo la kukojolea Tina mie, John aliponitoa tu lile
tambala nilitapika mfululizo nyongo si nyongo kwani ilikuwa imechanganyika na
mabonge bonge ya damu.. Nikaanza kuhisi fahamu zinanipotea taratibu huku uwezo
wa kufikiri ukipotea nao kabisa, “..najua nitakufa muda si mrefu, nisameheni
kwa yote niliyowatenda. Niagieni na kwa wazazi wangu..” Nilijitahidi kutoa
sauti lakini ikawa haitoki hivyo kizungu zungu cha ajabu na ghafla kikanitawala
nakuanguka mpaka chini… Mwili wangu ulikuwa sugu tena sio sugu kwa maumivu tu
bali ulikuwa sugu kwa mateso ya aina yeyote. Lakini kitendo cha kudondoka mpaka
chini nakuanza kusikia kizungu zungu huku nikiwaona baba Latifa wawili wawili
vivyo hivyo hata kwa John.. Baada ya muda kimya kikatanda, nikiwa bado nipo
pale chini huku damu yangu mwenyewe ikitawala kwenye mwili wangu, sauti ilikuwa
haitoki, nilijitahidi japo kuinuka kwani zile kamba nilizokuwa nimezungushwa
nilikuwa nimeshafunguliwa.. Kitendo cha mimi kuinuka nilishindwa nakujikuta
natambaa huku kwa mbaali nikiona ukungu ukungu kwakuwa macho yangu yalikuwa
hayana tena nguvu ya kuona mbali ila kwa karibu kidoogo.. Nilitambaa kwa
kutumia magoti huku nikitafuta mlango wakutokea, magoti yote yalikuwa yamelowa
damu zangu mwenyewe, japo niliteleza nilifanikiwa kufika hadi kwenye mlango
uliokuwa umefungwa ambapo nilianza kukishika kitasa nakufungua, “…Ooh, why me,
why me Tina..” Mlango ulikuwa umefungwa, nilijaribu kuutikisa nikahisi kama
ufunguo umedondoka chini yangu hivyo nikainama nakuanza kuutafuta kwa kupapasa
papasa huku nakule huku nikiambulia kushika damu zangu tu.. Nilijaribu japo
kuyapikicha macho yangu ili nipate nguvu yakuona mbele lakini ikawa ndio kwanza
nimeyaharibu macho yangu kwani zile damu nilizokuwa nimezishika wakati napapasa
chini kuutafuta ufunguo zote zilikuwa zimeniingia machoni nakunisababishia
muwasho wa ajabu ambao sijawahi kuwasha maishani mwangu, nilipiga kelele lakini
sauti yangu ilikuwa bado haitoki, nikashika kitu sijui ndio ilikuwa ni kikombe
ama meza ya kioo kwani nilivyokirusha kwa nguvu nilisikia mlio wa kuvunjika kwa
kile kitu.. Napo sikupata msaada hata kusema atokee au asikike baba Latifah au
John anipige ama kunikaripia lakini haikuwa hivyo zaidi yakuendelea kupata
mateso. “..najua nimekukosea sana tena sana, eeh mungu wangu niachanishe na
mateso haya yaliyonipata..” Nilijikuta nimeokoka ghafla nakuanza kumuomba Mungu
anisamehe.. Nikiwa bado nipo pale chini bila kupata msaada wowote na
nimeshakata tamaa, mara nikahisi nimekalia kitu kama kichuma chuma, nilianza kuogopa
huku nikikishia nakudhania huenda ni kati ya kile nilichorusha kikapasuka chini
lakini haikuwa hivyo kwani nilikishika vizuri kile kitu nakusogeza vizuri mpaka
machoni kwangu.. Nilisisimka mwili ghafla baada yakugundua kuwa ule ulikuwa ni
ufunguo hivyo nikaaninuka nakuanza kuupenyeza taratibu kwenye tundu la mlango
nakuanza kuufungua bila ya mafanikio yeyote.. “..Eeh Mungu saidia, saidia..”
Hatimaye mlango ukafunguka lakini nguvu za kusimama zikaniisha tena hivyo
nikaanza kutambaa nikitoka mpaka nje kabisa.
::
Giza bado lilikuwa limetanda sana hilo sikulihofia kwani lengo langu nikutoka
nje kabisa na hili eneo la ukatili na mauaji.. Maumivu makali nilianza
kuyasikia nilipofika nje kabisa, ule ubaridi wa nje ndio ulioamsha maumivu
makali kwenye sehemu zangu za siri.. “..unakwenda wapi..?” Ilikuwa ni sauti
ngeni kabisa masikioni mwangu lakini kwa hisia nikajua tu atakuwa yule mlinzi
tuliyempita wakati John ananivua kuingia ndani.. “…naomba msaada wako tafadhali
embu nionee huruma na nilichofanyiwa, ni unyama, unyama kabisa..” Nilimjibu
lakini sauti yangu ikawa bado haitoki hivyo yule mtu alinifuata nakunibeba
kisha nikahisi kama ananirudisha tena ndani… “..nitoe nje tafadhali sasa huko
unanipeleka kufanya nini..?” Nilijitahidi tena kuongea lakini bado Tina mie
kutoka sauti haikuwezekana kabisa. Yule mtu hakunijibu chochote zaidi
yakunitupia kwenye chumba nisichokifahamu kisha nikasikia sauti ya maji maji
yakimwagika hivyo kwa hisia tena nikajua ni lazima patakuwa ni chooni ama
bafuni.. Nilihisi kama anakojoa kisha akanishika kichwa changu nakunidumbukizia
kwenye tundu la choo naku ‘flash’ hapohapo.. Aliponitoa kichwa changu sikuweza
tena kuona mbele masikio yote yakawa yameziba, Kizungu zungu kikanitawala hapo
hapo nakupoteza fahamu hapo hapo… Nilishtuka nakushangaa mwili wangu wote
umelowa maji hivyo akili yangu ikafanya kazi nakujua kumbe yule mtu aliyenileta
huku bafuni ndiye aliyenimwagia maji pale nilipohisi kizungu zungu nakuanguka
mpaka chini..”…amka hukoo..? Amkaa husikii..?”yule mtu bado aliendelea
kunifokea nakujikuta nikiamka kwa kupepesuka, lakini ile nainuka tu nguvu
zikaniishia nakujikuta nandondoka tena mpaka chini kabisa..Niliinuliwa na yule
mtu kwa nguvu huku akinishambulia kwa vibao pamoja na mangumi mwili wangu wote,
nakilichofuata alinivuta nywele zangu mpaka mlango wakutokea, sikuwa na sauti
kwani ilishanikauka, mwili wangu sasa ulikuwa kama uliyepigwa ganzi kutokana na
maumivu kupitiliza.Yule mtu aliendelea kuniburuza mpaka getini huku nikiwa uchi
tena mtupu kama nilivyozaliwa, aliacha kunivuta kwa kutumia nywele zangu na
safari hii alikuwa kayashikilia matiti yangu yote mawili huku akiyaminya
nakuyavuta kwa nguvu zake zote mpaka nje ya geti..Masikio yangu yakawa kama
yananasa sauti za watu huku macho yangu yaliyojawa na ukungu wa maji uliochanganyika
na zile damu zangu yakikosa nguvu yakujua ni wakina nani ninaowasikia,
nikajaribu kupiga kelele kama sauti itatoka..”..nisaidieni jamani, niokoeni
nakufa mie..”Nikahisi kama sauti imetoka tena kwa nguvu mpaka mwili
ukanisisimka, haraka haraka nikapikicha macho yangu yakapata uwezo wakuona
mbele,”..Ahsante sana Mwenyezi Mungu kwa kunionesha tena duniani..”Nilijisemea
kimoyo moyo huku nikiuangalia ule umati wa watu uliokuwa umetanda na
kunishangaa nikiwa uchi wa mnyama.Niliinuka pale chini nakurudi mpaka ndani
ambapo breki yakwanza ilikuwa kwenye kinyumba cha mlinzi napo sikumkuta,
nikachukua bunduki lake na panga kisha nikaingia mpaka ndani kwa hasira,
nilipofika sebuleni nilizikuta zile damu zangu zimetapakaa mpaka kwenye masofa,
nikaingia vyumbani chumba kimoja kimoja nikifungua bila kumuona mtu yeyote
mpaka nikafikia chumba kilichokuwa kimelokiwa,nikatumia lile gobole kuvunja,
ile namalizia tu nageuka nyuma namuona Jerry akiwa na John pamoja na baba
Latifah wakinifuata huku wakicheka.Kwa hasira niliyokuwa nayo nikachukuwa lile
bunduki nakuwaelekezea huku nikitaka kuwafyatua mara..*”…Aaah.., aah..,
wanabahati kweli..?, uuhf..! Uuuf..! Uuuf..!”Niliropoka kwa sauti ya juu na ya
ukali huku nikikodoa macho huku nakule kwa mshangao ulioambatana nakuhema juu
juu mpaka jasho likanitoka huku nikiwa kitandani nisiamini kilichotokea kama ni
ndoto..Haraka haraka niliwasha taa nakuangaza chumba chote kulikuwa kimya hivyo
nikaamini nilikuwa naota. Na wakina Aisha watakuwa waliniacha wameenda ‘club
bills’..Nilianza kupata kumbukumbu sawa nakukumbuka mara ya mwisho nilimwambia
Aisha aniache nipumzike kidogo halafu ndio twende nao huko ‘club’ nadhani
hawakuniamsha hivyo nikapitiwa na usingizi nakuanza kuota ndoto za ajabu ajabu
eti nimeteswa na baba Latifah wakisaidiana na John pamoja na mtu nisiyemfahamu,
mpaka wakanishona sehemu zangu za siri..Bado nilikuwa sijiamini na ile ndoto
niliyokuwa naota, mwili wangu wote ulikuwa unanitetemeka, nikajifunua nguo
yangu ya ndani nakuhakikisha sehemu zangu za siri zipo salama..Nilibaki
natikisa kichwa cha dharau huku nikishika shika vizuri sehemu zangu za siri,
kwani zilikuwa nzima kabisaa..”…eti Tina mie wanishone..? Mbona wangejuuuta
kunijua..?”nilijisemea mwenyewe huku nikiinuka nakuelekea bafuni kuoga.Ndani ya
muda mchache nilikuwa nimesharudi nakujifuta tayari kwa kulala tena.Usingizi
kwangu ulikuwa wa shida sana hivyo nilishindwa kulala mpaka alfajiri waliporudi
wakina Aisha na Lucy ambapo napo ilikuwa ni makelele mtindo mmoja mpaka
kunakucha..Asubuhi ilipofika nilijikuta mtu wa mawazo mawazo haswa kwa kile
kitendo nilichowaambukiza ukimwi kwa makusudi John na baba Latifah, nafsi yangu
ilinisuta nakujikuta nanyanyua simu yangu tayari kwa kuwapigia ili nikawaombe
msamaha kwa nilichowafanyia nakuwaelezea huo ukimwi nilipoupatia..Nilianza kwa
kupiga namba ya John napo ikawa inaita tu lakini haipokelewi nikaikata nakupiga
namba ya baba Latifah,”…Hallow.. Kwanza nianze na samahani Mzee
wangu..”Nilijivika moyo wa kijasiri huku nikiwa pembeni ya ukuta wa chuoni huku
nikiongea kwa kujiamini..”..enhee ulikuwa unasemaje binti..?””..najua
nimekukosea tena sana na haukustahili kupewa adhabu hiyo uliyonayo, nakuomba
unisamehe mzee wangu..” “…Nakusikiliza vizuri, unamuona huyo Mama anakuja nyuma
yako..?”Sikuamini amini nikageuka nyuma huku nikitetemeka nakumjibu..”..ndio
nimemuona Latifah akiwa na Mmama..””..huyo ndiye mke wangu na hapo yupo na
Latifah pamoja na Polisi mie nawasubiri, nadhani umeshajua nini
kinachofuata…?Nikaikata ile simu nakugeuka tena nyuma kwa mara ya pili kuhakikisha.Maskini
Tina mie nilikuwa tayari kama mtu aliyechanganyikiwa kwani ile simu niliyokuwa
nimeipiga hakuwa baba Latifah bali alikuwa ni ‘classmate’ wangu na wale
niliowaona walikuwa ni wapita njia tu tena mtu na mtoto wake.Ile hali ya
kuchanganyikiwa bado iliendelea kunitawala ndani ya ubongo wangu, niliizima
kabisa simu yangu nakuelekea ‘intarnate cafe’.kama kawaida yangu nilifungua
moja kwa moja mtandao wa kijamii ‘facebook’ nakuanza kuchati na marafiki zangu
ikiwa ni pamoja nakupokea marafiki wapya.Nilipomaliza tu nikaingia moja kwa
moja kwenye group la Simulizi extra kwani stori zake huwa nazipenda sana haswa
ile ya play boy yani hadi natamani ningepata kukutana na huyo Jeff ryder mbona
angejuta kwa Tina mie..
::
Ilinichukuwa kama nusu saa nikawa nimesharidhika kwa ile story ya play boy,
nikaanza kufuatilia zile comment mpaka nikakutana na jina la ‘Biggy'”..mh siku
nyingi sijakutana na mabonge embu wacha nimchokoze..?”Nilijisemea peke yangu
huku nikilikagua profile lake, niliangalia picha zake zikaanza kunivutia
taratibu.”..mh hapa kaisha, na lazima afuatane na wenzake kina baba Latifah na
Jerry..”Nilijesemea kimoyo moyo huku nikifurahia kuipata namba yake ya simu
ambapo alikuwa ameiweka kwenye mtandao huu wa facebook.Bila kupoteza muda Tina
mie nikaichukua ile namba kisha nikatoka pale intarnate huku nikitafuta sehemu
nzuri iliyotulia nakuanza kumpigia..”..hallow..?””..yap mambo vipi? samahani
naongea na nani?..””..mh, biggy mara hii umeshanisahau?”Nilimtega makusudi
kwani wanaume huwa hawanibabaishi hata kidogo..”..Sauti kama ya Gizzle
hivi..?””..yeah, lakini siyo Gizzle unayemjua wewe..?””..haya ndio uniambie
sasa naongea na Gizzle yupi..?”Nilisita kidogo halafu nikafikiria jina lolote
la mbele kisha nikamjibu..”..unaongea na Gizzle precious beiby wa tabata..””..enh
bado sijakupata vizuri, ‘anyway’ niambie mambo vipi lakini..””..am mh mh mie
nilitaka tu kukusalimia coz ni rafiki yangu kwenye facebook..”Nikamtia simu
makusudi ili tu nimpime nione kama atanipigia.Nikiwa bado nimezubaa peke yangu
mara simu yangu ikaita kuiangalia ni huyo huyo Biggy..”..mh wanaume
bwana,?”Nilijichekea kimoyo moyo huku nikiipokea ile simu nakumlegezea sauti
kabisaa.”..yeaah ni a a ambie Biggy..?””..dah poa tu, ujue nini?””..yeah
nini?”Biggy akakaa kimya kwa muda na hapo ndipo ukawa mwanya wangu kwani zile
ndoto za jana usiku zimenifanya nisiendelee kuambukiza ukoo wa kina baba
Latifah..”..Biggy nikuulize kitu?””..uliza tu wala usihofu..”Nilikaa kimya
kidogo kisha,”..unapenda kwenda ‘club’?””..yeah kwanini nisipende wakati mwili unaniruhusu..?”Nilimtega
makusudi,”…aah, tumrudie Mwenyez Mungu, nakuomba leo jioni tukutane kwenye
ibada pale magomeni mwembe chai..”Biggy aliguna kisha akahaidi kutokea muda
utakapofika.Nilirudi zangu mpaka hosteli kwetu pale Cbe huku nikiwa na furaha
ya ajabu na nikiomba jioni ifike haraka ili niwe na Biggy.Ilipofika tu saa tisa
na nusu Tina mie nikawa nimeshaoga na nimevalia gauni refu mpaka chini huku
mkononi nikishikilia biblia niliyoazima kwa rafiki yangu Rose.Ndani ya lisaa
tayari nilikuwa ndani ya Magomeni mwembe chai pale kituoni huku nikimtumia
meseji Biggy kumtaarifu kuwa namsubiria..Haikuchukuwa muda akawa tayari
amefika, sura yake haikunipotea kwani tayari niliinasa katikaa picha zake
alizokuwa ameziweka facebook.Alikuwa amevalia mavazi ya kikanisani
kweli.”..angejua naenda kumpa ukimwi leo..?”Niliusemea moyo huku nikimtolea
jicho la kiheshima kana kwamba ni binti mlokole kweli.”..Biggy kanisa liko
mbali kidogo, utanisamehe..”Nilimdanganya huku nikiingia kwenye gari ya Biggy
tena ki ‘Starlet’ kilichokuwa na vioo vyeusi,”..haya niambie tunaelekea njia
ipi?”Aliniuliza Biggy.”..pita njia hii, ukifika kwa mbele kuna kona
ntakuelekeza tena..”Nilimdanganga huku akili yangu yote nikiielekeza ni jinsi
gani nitamteka aweze kufanya mapenzi na mie..”..Biggy lakini hujaniambia kama
umeoa, mie nilijua utakuja na mkeo..?””..dah bado hata sijaoa lakini ndani ya
miezi hii mitatu ntakuwa nimeshaoa..”Hapo hapo ndo ukawa mwanya kwangu.kwa
bahati nzuri nilikuwa napafahamu kanisa ambalo huwa kuna maombi mara kwa mara.
“…kunja kwa hapa kushoto kwa mbele kidogo tutaliona kanisa la KKKT hapo hapo..”
Nilimwelekeza kwa kujiamini kanakwamba kila siku huwa nakuja hapa kusali. ndani
ya muda mchache tayari tulikuwa ndani ya kanisa, waimba kwaya wachache walikuwa
wamejipanga kwa vikundi vikundi, tukapitiliza na kwenda kukaa mbele kabisa huku
tukisubiri ibada. “..ukisikia kuumbuka Tina mie ndio leo..?” Nilijisemea peke
yangu baada ya kukaa zaidi ya nusu saa bila kuonekana dalili zozote za ibada
zaidi ya wanakwaya ambapo walikuwa wanafanya mazoezi kisha wakatawanyika.
Nilianza kumchokoza Biggy pale pale kanisani. “..Biggy nikwambie kitu.?”
“..enhe niambie tu..” Nikakaa kimya kwa muda huku nikiona kaaibu fulani kisha
nikamwambia.. “..samahani sana kwa kukusumbua leo kupoteza muda wako mpaka
sasa, itakuwa jana nilipokuja hapa kwenye maombezi nilimsikia vibaya mchungaji
hivyo nikajua na leo atakuwepo kama kawaida..” “..Hilo tu wala usihofu mpendwa
katika bwana..” “..ameni..” Niliitikia kwa kujiamini huku tukitoka pale
kanisani nakuelekea nje mpaka alikopaki gari yake.. “..haya embu niambie unakaa
wapi nikusogeze..” Nilimwangalia kwa jicho la uchokozi kisha nikamjibu kwa
kumtega, “..Biggy mie nakushukuru kwa kuja, kuhusu kuondoka usihofu nitamsubiri
mume wangu atanipitia akitoka ofisini..” “..kwani wewe Gizzle unakaa wapi?”
“..am mh mh naishi mabibo” “..Sasa mie naishi Sinza twende nikuache pale njia
panda ya kwenda huko Mabibo..” Niliitikia kwa shingo upande huku nikiingia
ndani ya gari la Biggy. Giza lilikuwa limeshaanza kutanda, kafoleni kapale
Manzese kalinifanya nijifanye nimechoka sana kwani hata na biblia niliiweka kwa
mbele karibu nakioo, akilini mwangu nilikuwa najua nini nafanya kwani giza
lilipofunika tu nilijifanya usingizi umenipitia haswa tena nakoroma utadhani
nimetoka safari ya mbali sana kumbe magomeni mpaka manzese tu. “..Gizzle,
Gizzle haya tumeshafika njia panda, wacha mie nielekee kwangu..” Aliniamsha
Biggy nakunitaka nishuke, ndio kwanza mwili wote ukanilegea zaidi. “..mhh
Biggy, najishangaa sijui ni homa? kwani mwili unanitetemeka sana embu ona..”
Nikauchukuwa mkono wake nakuugusanisha kwenye shingo yangu kisha nikauamisha
nakuupeleka mpaka kwenye matiti yangu nakuumalizia mapajani mwangu. “..Nisamehe
sana Biggy kwani naumwa, naumwa kweli..?”
::
Biggy akawa hajiamini amini huku ananitolea jicho la uoga. “..ok, mpigie mumeo
simu basi aje kukupitia hapa..” “..hapana Biggy, niliogopa kukwambia ukweli,
mie sijaolewa bado..” Wanaume kama hawa wala hawanisumbui Tina mie, pale pale
nikauvua ulokole kwa muda.. “..Biggy, nakuomba nikwambie siri kubwa ambayo iko
moyoni mwangu..” Biggy tayari alikuwa msikivu huku akinitolea macho nikatumia
mwanya huo huo kumdanganya, “…pliz pliz Biggy nakuomba story hii usije mwambia
hata Jons jonas ataniandika kwenye mastory yake na cliff davis atawsimulia watu
kwenye account yao ya yotube ya simulizi extra ..” Biggy alicheka kidogo kisha.
“..ondoa hofu kabisa Gizzle..” Sikuwa na story yeyote zaidi ya kumpotezea muda
wake pale.. “..nakuomba uniruhusu nikakusimulie huko huko kwako kisha
utanirudisha mpaka mabibo au?” Muda wote naongea naye Biggy alikuwa anaonekana
hajiamini kabisa. Aliwasha gari yake na safari ya kuelekea huko Sinza anapoishi
ikaanza. Ilituchukuwa kama nusu saa kutoka pale njia panda ya mabibo na
tulipofika tu, cha kwanza nilishuka huku nikiiacha ile biblia kwenye gari la
Biggy. “..unaishi peke yako kweli..? nisije nikapigwa binti wa watu wakilokole
mie..” Nilijisemea kiutani huku Biggy akitoa funguo mfukoni nakuanza kufungua
mlango wa chumbani kwake kwani alikuwa na chumba kimoja na sebule tu tena
nadhani ilikuwa ni nyumba ya kupanga ile.. “..Mh Biggy unajipenda? ubarikiwe na
bwana..” Bado nilimpa vijimaneno vya uchokozi na tulipoingia tu ndani, “..Biggy
samahani, lete mikono yako mara moja..” Alishangaa kisha akanipa mikono yake,
nikaishikilia nakumuamuru tufumbe macho tuombe.. “..Bwana Mungu, mkuu uliye
mbinguni, nasema ahsante Baba kwa kunileta katika nyumba hii, Baba weza
kumbariki kijana huyu niliyenaye katika mambo yake ya ofisini hata na nyumbani,
najua hakuna lishindikanalo mbele zako Baba.., Nikiwa katika maombi ya uongo na
kweli pale mara mlango ukafungulia nakuingia msichana huku akionekana mwenye
hasira kali… Sikutaka kujifanya nimeshtuka, pale pale nikaendeleza maombi.
“..tazama Baba wa mbinguni, nimekuja humu ndani kuweka baraka, kwa jina la Yesu
mbariki Biggy na wapangaji wake wote.. nasema ahsante Baba..” “..Ameni..!!”
Wakaitikia wote Biggy na yule msichana aliyeingia mule ndani kwa pamoja.
“..karibu..” Biggy alimkaribisha yule mdada, huku akimtolea macho.
“..ahsanteni, za hapa lakini..?” “..salama tu, Gizzle..? huyu dada unayemuona
hapa ni mpangaji mwenzangu na yeye pia ameokoka nadhani maombi yetu yamemtia
nguvu nakujongea mpaka hapa..” “..ahsante kwa kumjua, Bwana wetu asifiwe..”
“..Ameni..” Aliitikia yule mdada huku akitoa kijikaratasi nakumkabidhi Biggy
nakudai kuwa ni bili ya maji imeletwa kwani wapangaji wako wawili tu katika ile
nyumba. Alimpa kile kijikaratasi nakuondoka huku akituacha mie na Biggy wangu
peke yetu. “..Gizzle sijui unatumia kinywaji gani..?” “..Maji ya kunywa tu
yatanitosha..” “..hapana, mie naenda kukununulia Juici..” “..mh haya bwana kama
umependa hivyo..” Biggy alifungua mlango nakutoka nje kabisa kwenda kuninunulia
juici huku akiniacha peke yangu pale kwenye sebule yake.. “..nadhani sasa ndio
atanielewa vizuri nimeokokaje, ngoja arudi, mbona atajuta na Tina zoa zoa
mie..” Nilijisemea kwa sauti ya kimya kimya huku nikifungua kijipochi changu
nakutoa wanja kisha nikafunua nguo yangu hadi maeneo ya tumboni nikajichora
mstari kidogo. Ndani ya muda mchache Biggy tayari alikuwa ameshaingia huku
mkono wake mmoja akiwa ameshikilia juici ya boksi. Alipofika tu alifungua
kabati lake nakutoa glasi mbili kisha akafungua juisi nakuimimina. “..haya
mpendwa katika Bwana karibu juisi..” Haya tufumbe macho Biggy tuiombee. “..Eeh
Mwenyezi Mungu muumba wa vyote, karibu tujumuike wote katika juisi hii,
ibariki..” “..Ameni..” Tayari kwa asilimia zote nilikuwa tayari nimeshamteka
Biggy huku akiamini kabisa kuwa mie ni mlokole.. “..yaani hapa leo simwachi..”
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukua glasi nakuanza kuinywa ile juisi..
“..haya Gizzle uliniambia kuna kitu unataka kuniambia, ndio uniambie sasa..”
“..haa Biggy nawe? husahau..?” Nilimwambia kiuchokozi huku nikijifanya nina
aibu kweli.. “..hapana Biggy roho inanisuta, najiona mzito sana kukwambia jambo
hili..” “..wee kuwa na imani tu ya Bwana, hata katika maandiko huwa yanasema,
roho ya kusita ni ya kishetani, usiiruhusu hapa siku moja ikutawale katika
maisha yako, haya niambie tu Gizzle niko tayari kukusaidia..” Maneno yale
aliyoongea Biggy yaliniogopesha nakuona huenda Biggy akawa mlokole kweli japo
mie namzuga tu. “..Biggy..?” “..enh niambie..?” “..kama nilivyokuambia,
nisingependa hadithi hii ya maisha yangu ukamwambia Jons Jonas, ataniandika kwenye
mastory yake yule, na nitaonekanika sina thamani tena katika hii dunia..”
“..Gizzle..?” “..abee” “..embu nakuomba uniamini nakunielewa, ni leo tu
tumejuana lakini niamini, hutakuja kusikia popote pale, kwanza mie nimelelewa
kwenye maadili ya kidini toka nikiwa mtoto na mpaka sasa nimeokoka..” “..Bwana
Yesu asifiwe sana Biggy..” “..Ameni..” “..kama unavyoniona Biggy, kwanza toka
nimezaliwa sijawahi kumjua mwanaume Gizzle mimi. Baba yetu alitulelea katika
mazingira yakumjua Mungu mpaka hivi sasa.., umri wangu wakuolewa umefika sasa, na
siku zote nilikuwa namuomba Mwenyezi Mungu anioneshee njia nimpate mume bora
mchapakazi na mcha Mungu, nimeangaika sana hadi kwa waganga, nikaona njia
sahihi nikumrudia tena Bwana nakumuomba, ndipo nilipokutana na wewe..” Muda
wote huo Biggy alikuwa anatetemeka tu huku kijasho chembamba kikimtelezesha
kupitia shati lake la mikono mirefu alilokuwa amelivaa. “..Biggy mie ni
msichana kama wasichana wengine na nimekamilika na bikra yangu kabisa, nahaki
kuwa na mwanaume kama wasichana wenzangu wengine waliookoka katika huu utukufu
wa Bwana..” Pale pale nikatoa mchozi wa uongo huku nikijifanya kuchanganyikiwa.
Biggy alitoa kitambaa mfukoni mwake nakuanza kunifuta yale machozi yaliokuwa
yakinidondoka.. “..Biggy, naamini wewe ni mwanaume niliooneshwa na Mwenyezi
Mungu..” Biggy alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani huku mikono yake
ikimtetemeka. “..Gizzle nimekuelewa, ila najisikia na mimi uchungu kwani tayari
nimeshamchumbia binti mmoja yupo Tanga anaitwa Mwajabu na ndio maana nilikwambia
kuwa ndani ya miezi mitatu nitakuwa nimeshaoa..” “..Lini nitakuwa na bahati
Gizzle mie, we ni mwanaume wa tatu kuniambia hivyo, ni bora tu nisiwepo duniani
bora, bora..
::
Nilibadilika sura kabisa huku nikijifanisha kwikwi imenishika kwa sababu yakulia,
pale pale nikajifanya nimepoteza fahamu. “..Gizzle..?Gizzle..?” Biggy aliniita
lakini nikajifanya sisikii lolote zaidi yakulegeza viungo vyangu vyote vya
mwili. Biggz alininyanyua nakunipeleka mpaka chumbani kwake nakunilaza kisha
akatoka nakurudi na feni akaiwasha inipepee pale kitandani. Ndani ya dakika
kama kumi nzima nilijifanya bado fahamu hazijanirudia, muda wote nilichomoza
jicho langu kwa mbaali nakumuona Biggy akiwa pembeni yangu amekaa na nguo zake
zile zile za ofisini. Alifungua Biblia nakuanza kuniombea huku mkono wake
akiuweka kichwani mwangu. Nilijipindua upande wa pili ili kumshtua Biggy
nakujifanya nimeamka. “..Gizzle..? Gizzle.” “..mhh, abee..!” Niliitikia kwa
kujinyoosha, huku nikifumbua macho yangu taaratibu nakumfanya Biggy aoneshe uso
wa furaha kwa kuzinduka kwangu. “..pole Gizzle, enh unajisikiaje na hali..?”
“..kichwa kinaniuma sana, pia nasikia kizungu zungu sana..” “..najua sasa hivi
utakuwa unatafutwa sana nyumbani kwenu, nakuomba nikurudishe..” “..hapana Biggy
nyumbani hakuna shida, wacha nilale tu hata kama ni sebuleni..” Biggy hakuafiki
kabisa swala la mie kulala kwani alidhani huenda nikazimia tena wakati mie
nilimzuga tu.. “..Biggy..? Biggy..?” “.enh unasemaje..?” “..Nimeanza kusikia
maumivu ya ajabu tumboni mwangu na sijui ni nini..?” Nilivua gauni langu kwa
makusudi mpaka tumbo lote likabaki wazi na mapaja yote yakionekana bila
kuonesha woga wowote ule. “..Biggy embu niangalie maeneo ya kitovuni kushuka
chini.. umeona nini?” “..kuna mstari mkubwa tu kama ile ya wajawazito. kwani we
ni mjamzito..?” “..we we ninavyoogopa, tangu lini bikra akawa mjamzito..? huu
mstari ukiwa mkubwa zaidi halafu huna mimba ujue we ni bikra..” “..anhaa
kuumbe..” “..Biggy sogeza sikio lako nikwambie kitu..” Hapo hapo sikutaka
kupoteza nafasi, alipoleta tu sikio lake, nikamwingizia ulimi kwenye sikio lake
nakuanza kulichezea huku Biggy akilegea nakutojiamini kama nimeshamwingiza
mtegoni.. Niliutoa ulimi masikioni mwake nakuuamishia mdomoni mwake, Biggy
alikuwa mshamba wa mapenzi kwani alikuwa hajielewi kabisa. Nilianza kumvua
vifungo vya shati lake taratibu huku mkono wangu ukipapasa kifua chake,
nilimvua nguo zake zote kisha namimi nikivua nguo yangu ya ndani tukafanya
mapenzi huku biggy akiamini kuwa amenitoa bikra hakika nikafurahia haswaa.. Tukiwa
bado katika mapenzi mazito, mara simu ya Biggy ikaita huko sebuleni.. Haraka
haraka tukayakatisha mapenzi yetu kisha Biggy akaenda kuipokea huku mie
nikimfuata kwa nyuma nakumsikiliza anavyoongea na simu, Aliongea mara moja tu
akaikata kisha akanifuata huku akionesha kuchanganyikiwa, “..Biggy vipi mbona
umekuwa hivyo ghafla..” “..matatizo Gizzle, tumefiwa..” “..poleni sana, kwani
nani aliyefariki..?” “..kafariki mjomba wangu kabisa anaitwa Baba Latifah..
anaishi magomeni, ngoja nimpigie mdogo wangu Jerry nimwambie…..!
::
We unadhani nini kitafuata baada ya tina kusikia kuwa biggy amefiwa na mtu
aliekufa ni mjomba wake anaitwa baba ratifa na hapo alipo anataka ampigie simu
jerry ili ampe hizi taarifa we unafikili tina atafanya nini baada ya kugundua
kuwa Biggy ni ndugu yake na jerry ingawa alishasema kuwa kwa sasa hataki
kuendelea kuambukiza ukimwi kwenye familia ya jerry….?
::usikose kufuatilia
kisi hiki cha kusisimua mpaka mwisho kwani sio ya kuikosa kabisa
0 Comments